Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » PEPMIS: Jinsi ya kukusanya/Submit utekelezaji wa kazi za kila siku katika Mfumo wa ESS
Makala

PEPMIS: Jinsi ya kukusanya/Submit utekelezaji wa kazi za kila siku katika Mfumo wa ESS

PEPMIS: Namna ya kukusanya/Submit utekelezaji wa kazi za kila siku katika Mfumo wa ESS
BurhoneyBy BurhoneyMarch 23, 2025Updated:March 23, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
 PEPMIS: Jinsi ya kukusanya/Submit utekelezaji wa kazi za kila siku katika Mfumo wa ESS
 PEPMIS: Jinsi ya kukusanya/Submit utekelezaji wa kazi za kila siku katika Mfumo wa ESS
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

 PEPMIS: Jinsi ya kukusanya/Submit utekelezaji wa kazi za kila siku katika Mfumo wa ESS ,Kwa Watumishi wa Serikali ambao Hutumia wamejiunga na mfumo wa PEPMIS Makala hii inatoa Muongozo jinsi ya kutumia ukusanya kazi kila siku katika ESS PEPMIS.

Namna ya kukusanya kazi kila siku katika ESS PEPMIS

Mfumo wa ESS PEPMIS Umegawanyika kimatumizi mara mbili kwa Watumishi wa kawaida na kwa watumishi wa vituo Tumechambua na kuelezea Jinsi ya kukusanya kazi kwa makundi yote mawili

ESS PEPMIS Namna ya kukusanya kazi kila siku Mtumishi WA kawaida.

Kutuma kazi kwa mkuu wako fuata hatua hizi.
1. Login kwenye ess.utumishi.go.tz
2. Gusa Menu ya PEPMIS
3. Gusa Implementation and Monitoring ipo upande WA kushoto.
4. Gusa employees
5. Kwenye kila subtask ulizotengeneza mbele yake utaona nukta tatu gusa nucta za task unayoitaka uifanyie implementation.
6. Gusa add progress
7. Seheme ya discription utaandika Kwa kifupi juu ya Kile umefanya/ kazi uliyofanya kuhusu hiyo sub-task Kwa kifupi tuu. Mfano utaandika : Nimeazimia maazimio mawili Kwa kidato Cha tatu Kwa masomo ya kiswahili na Kiingereza. Au Nimeandaa scheme of work ya ……
8. Sehemu ya Implimitation status jaza hatua uliyopo. Kama umemaliza (complete ) unaendelea(progress ) umeachana nayo(Dropped out) au bado hujaaza (Not started)
NB: Dropped out Kwa sasa imeondolewa mwanzo ilikuwepo so, tumia zilizopo.
9. Sehemu ya completion in percentage utajaza asilimia uliyofikia. Hapa yakupasa U-calculate upate asilimia hizo kama utakuwa umeselect task yako ni inprogress.
10. Kisha gusa Save.
11. Kwenye hiyohiyo subtask yako tena gusa nukta 3 kisha safarihii gusa view implementation
12. Utaona kazi uliyoiandika mbele yake kuna nukta tatu gusa
13. Gusa submit
Hapo utakua umetuma kazi kwa mkuu wako wa kituo
NB: Usipo submit hiyo kazi haitaonekana Kwa supervisor wako utahesabika huonekani kwenye mfumo.
Soma Hii :Jinsi ya Ku-Login mfumo wa ESS PEPMIS – UTUMISHI

ESS PEPMIS Namna ya kukusanya kazi kila siku Kwa Mkuu wa Kituo (SUPERVISOR)

1. Utalogin kwenye ess.utumishi.go.tz
2. Utagusa PEPMIS
3. Utagusa implementation and Monitoring
4. Utagusa Department/ unit/workstation
5. Utaona kazi zilizotumwa na watumishi walio chini yako kwa jina na subtask mbele yake kuna nukta tatu gusa.
6. Gusa view implementation uone kazi aliyoifanya
7. Mbele ya kazi aliyoifanya kuna nukta tatu gusa
8. Hapa utaona kama kweli aliifanya implementation kama hujaridhika na vile imefanyika utamrudishia (rollback) kama umeikubalia uta
10. Utagusa approve progress
11. Kisha utabonyeza verify. Utakuwa umemaliza kazi.
Hizi hatua mbili zilikuwepo mwanzo Kwa sasa hazipo unaishia hiyo ya 11 hapo juuu.
11. ~~Utaona kazi alizozifanya mbele yake kuna nukta tatu gusa~
12. ~Kisha tafuta neno limeandikwa submit.

SOMA HII :  Jinsi ya Kufanya Makadirio ya Kodi TRA
Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Vidonge vya Uzazi wa Mpango kwa Mama Anayenyonyesha

December 15, 2025

Dawa ya malaria kwa mama mjamzito

December 15, 2025

How to register mukuru in zimbabwe

December 8, 2025

Hadithi za kutia moyo

December 8, 2025

Bei ya mashine ya kutengeneza mkaa mbadala

December 1, 2025

Jinsi ya kutengeneza mkaa kwa kutumia vumbi la mkaa

December 1, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Zimamoto Recruitment Portal Login:Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

December 13, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Zima moto PDF Download December 2025

December 12, 2025

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

December 12, 2025

Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili kada ya Afya na Ualimu Ajira portal December 2025

December 4, 2025

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Kada za Afya na Elimu TAMISEMI

November 26, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.