Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Mfano na Muundo wa Barua ya Maombi ya Kazi Kujiunga Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Elimu

Mfano na Muundo wa Barua ya Maombi ya Kazi Kujiunga Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

Fahamu Jinsi ya kuandika Barua ya Maombi ya kazi JWTZ (Jeshi la Wananchi Tanzania ,Tumekuwekea Muundo na mfano wa Barua
BurhoneyBy BurhoneyFebruary 25, 2025Updated:February 25, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Mfano na Muundo wa Barua ya Maombi ya Kujiunga Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Je Unataka Kutuma Maombi ya Nafasi za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Unakwama katika uandishi wa Barua ya kutuma Maombi yako?Usikonde tumekuandalia hii makala kuyafanya maisha uwa rahisi tumeelezea muundo wa namna Barua inavyotakiwa kuwa pia Tumekuwekea Barua ya mfano.

Vitu Muhimu vya Kuzingatia  katika kuandika Barua ya Kuomba kujiunga JWTZ

  1. Anwani ya Mwombaji
  2. Tarehe
  3. Anwani ya Kupokea
  4. YAH: Maombi ya Nafasi ya Kujiunga na JWTZ
  5. Utangulizi
  6. Maelezo Binafsi na Sifa
  7. Hitimisho
  8. Jina na Sahihi ya Mwombaji

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

 

  1. Anwani ya Mwombaji
  2. Tarehe
  3. Anwani ya Kupokea
  4. YAH: Maombi ya Nafasi ya Kujiunga na JWTZ
  5. Utangulizi
  6. Maelezo Binafsi na Sifa
  7. Hitimisho
  8. Jina na Sahihi ya Mwombaji

Mfano wa Barua

[Anwani yako]

[Tarehe]

Mkuu wa Utumishi Jeshini

Makao Makuu ya Jeshi

Sanduku la Posta 194,

DODOMA, TANZANIA.

YAH: MAOMBI YA NAFASI ZA KAZI JWTZ 2024

Ndugu,

Kwa heshima na taadhima, mimi [Jina Lako], raia wa Tanzania mwenye kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA [Namba yako ya NIDA], naandika kuomba nafasi ya kujiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa mwaka 2024 kama ilivyotangazwa.

Nina elimu ya kidato cha [nne/sita] na umri wa miaka [umri wako], ambapo napenda kujiunga na JWTZ ili kulitumikia taifa langu kwa moyo mkunjufu. Nina sifa zote zinazohitajika, kama ifuatavyo:

  1. Mimi ni raia wa Tanzania.
  2. Umri wangu hauzidi miaka 25.
  3. Nina afya njema na akili timamu.
  4. Nina tabia na nidhamu nzuri, sijawahi kupatikana na hatia ya jinai wala kuhukumiwa kifungo.
  5. Sijawahi kutumikia Jeshi la Polisi, Magereza, Chuo cha Mafunzo, au Kikosi Maalumu cha kuzuia Magendo.
  6. Nimehitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa mkataba wa kujitolea kwa miaka miwili na ninayo cheti husika.
SOMA HII :  RAO Health Training Center Joining Instructions PDF Download

Ninatumaini kwamba maombi yangu yatapata nafasi ya kujadiliwa na hatimaye kupitishwa. Nafurahia kujiunga na JWTZ ili kujenga mustakabali mzuri kwa taifa langu na kwa dunia kwa ujumla.

Nimeambatanisha nyaraka zote muhimu kama zilivyoainishwa kwenye tangazo:

  1. Nakala ya kitambulisho cha Taifa/NIDA.
  2. Nakala ya cheti cha kuzaliwa.
  3. Nakala za vyeti vya shule.
  4. Nakala ya cheti cha JKT.
  5. Nambari ya simu ya mkononi: [Namba yako ya simu].

Nina imani kuwa nyaraka hizi zitakidhi mahitaji yote na kutoa mwanga wa sifa zangu. Niko tayari kufika kwa usaili na majaribio mengineyo kama itakavyohitajika.

Ninaomba nafasi hii kwa unyenyekevu na matumaini makubwa. Natanguliza shukrani zangu kwa muda na fursa ya kujadili maombi yangu.

Wako kwa uaminifu,

[Jina Lako]
[Anwani yako]
[Namba ya Simu]
[Barua pepe yako, ikiwa nayo]

 

Fahamu Jinsi ya kuandika Barua ya Maombi ya kazi JWTZ (Jeshi la Wananchi Tanzania ,Tumekuwekea Muundo na mfano wa Barua

Vidokezo Muhimu

  • Anwani: Hakikisha umeandika anwani yako kamili na sahihi.
  • Tarehe: Andika tarehe ya kuandika barua.
  • YAH: Eleza kwa ufupi lengo la barua yako.
  • Utangulizi: Eleza jinsi ulivyopata taarifa ya nafasi hiyo.
  • Maelezo Binafsi na Sifa: Toa maelezo ya elimu yako, sifa na uzoefu unaohusiana na nafasi unayoomba.
  • Hitimisho: Eleza matumaini yako na shukrani zako kwa kuzingatia maombi yako.

Muongozo wa Video Jinsi Ya Kuandika Barua Nzuri Ya Kuomba Nafasi Za Jeshi (JWTZ)

JWTZ
Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Nelson Mandela African Institution of Science and Technology (NM-AIST) Arusha courses offered

December 25, 2025

Mzumbe University (MU)

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Contact Details Number na Address

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Prospectus PDF Download

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Admission Letter

December 25, 2025

Mzumbe University (MU) Joining Instruction PDF Download

December 25, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Zimamoto Recruitment Portal Login:Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

December 13, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Zima moto PDF Download December 2025

December 12, 2025

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

December 12, 2025

Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili kada ya Afya na Ualimu Ajira portal December 2025

December 4, 2025

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Kada za Afya na Elimu TAMISEMI

November 26, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.