Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Mfano na Muundo wa Barua ya Maombi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji ,Mtaa na Halmashauri
Makala

Mfano na Muundo wa Barua ya Maombi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji ,Mtaa na Halmashauri

Mfano na Muundo wa Barua ya Maombi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji ,Mtaa na Halmashauri
BurhoneyBy BurhoneyFebruary 25, 2025Updated:February 25, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji na Mtaa
Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji na Mtaa
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Fahamu Jinsi ya kuandika Barua ya kuomba kazi za Afisa utendaji kata,tarafa ,utendaji vijiji na Halmashauri makala hii imeorodhesha vitu muhimu katika kuandika barua pamoja na mfano wa barua tumekuwekea ili kujifunza jinsi barua inavyotakiwa kuwa kimpangilio na muonekano.

Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mtendaji wa Kijiji na Mtaa

Muundo wa Barua ya Maombi ya Kazi

  1. Anuani ya mwandishi. Yaani anuani yako wewe unayeandika barua hiyo.
  2. Tarehe.
  • Anuani ya anayeandikiwa.
  1. Salamu.
  2. Kichwa cha habari.
  3. Kiini cha barua. Hii ni roho ya barua yako, ukikosea mahali hapa, kama unajibu swali katika mtihani, utapoteza alama. Na kama unaomba kazi halisi, utaikosa. Kiini kina aya nne:
  • – Katika aya ya kwanza, eleza kazi unayoomba na mahali ulipoona tangazo la kazi hiyo. Ni katika sehemu hii unaweza kutaja umri wako.
  • – Katika aya ya pili, eleza ujuzi wako kwa ufupi. Usieleze sana. Barua hii haipaswi kuwa ndefu kupindukia.
  • – Aya ya tatu eleza kwa nini upewe kazi hii wewe na si mtu mwingine. Epuka kueleza shida zako binafsi ili upewe kazi. Maneno kama, ninaomba kazi hii ili niweze kumtibia mama yangu mgonjwa kitandani,hayana msaada.
  • – Aya ya nne eleza uko tayari kwa usahili siku gani?
  • Mwisho wa barua. Mwisho wa barua yako uwe na:
  • – Neno la kufungia. Wako mtiifu. Wako katika ujenzi wa taifak
  • – Sahihi yako.
  • – Jina lako

Wengine hujifunza kuandika barua ya maombi ya kazi ili waweze kujibu maswali katika mtihani, na wengine hujifunza ili waweze kuandika barua hizo, waweze kuomba kazi halisi. Vyovyote vile, mfano huu halisi wa barua, ni sahihi kwa watu wote, wanafunzi na wale wanaotafuta kazi.

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji na Mtaa

 

Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi ya Mtendaji wa Kijiji na Mtaa

JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

Related Posts

Chanzo cha uchawi duniani

June 14, 2025

Chanzo cha meli ya titanic kuzama

June 14, 2025

Chanzo cha vita urusi na ukraine

June 14, 2025

Majina ya Form Six Waliochaguliwa Kujiunga na JKT Kwa Mujibu wa Sheria 2025

May 27, 2025

100+ misemo maarufu kuhusu maisha

May 25, 2025

Misemo ya dharau ya kuchekesha na ya kupost status

May 24, 2025
Leave A Reply Cancel Reply

Latest Posts

Nafasi 137 za Kazi Kutoka UTUMISHI – Taasisi Mbalimbali Juni 2025

June 13, 2025

Nafasi 83 za Kazi Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) June 2025

June 12, 2025

Nafasi za Kazi – NARCO (Kampuni ya Ranchi za Taifa) – Juni 2025

June 12, 2025

Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Utumishi PSRS 2025 PDF Download

June 12, 2025

Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI na Ajira Portal 2025

June 12, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.