Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Dalili za uti sugu kwa mwanamke
Maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) ni tatizo la kiafya linalowaathiri wanawake wengi duniani. UTI huwa sugu pale ambapo ugonjwa huo hauponi licha ya matibabu, au hujirudia mara kwa mara. [Read Post]
