Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Sababu za Kuziba kwa Mirija ya Uzazi – Chanzo Kikuu cha Ugumba kwa Wanawake
Kuziba kwa mirija ya uzazi (fallopian tubes) ni mojawapo ya sababu kuu za ugumba kwa wanawake. Mirija hii ni njia nyembamba zinazounganisha mayai kutoka kwenye ovari hadi kwenye mfuko wa [Read Post]
