Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Jinsi ya kuzuia ugonjwa wa malaria
Malaria ni ugonjwa hatari unaosababishwa na vimelea vya Plasmodium vinavyoenezwa kwa binadamu kupitia kung’atwa na mbu jike wa aina ya Anopheles. Ugonjwa huu huathiri mamilioni ya watu duniani kila mwaka, [Read Post]
