Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Kipimo cha saratani ya shingo ya kizazi
Saratani ya shingo ya kizazi (cervical cancer) ni moja kati ya saratani zinazoathiri wanawake wengi duniani, hasa katika maeneo ya Afrika. Ugonjwa huu huanza kwa mabadiliko yasiyo ya kawaida ya [Read Post]
