Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi Sababu,Dalili na Suluhisho
Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi ni hali hatari inayoweza kuhatarisha maisha ya mwanamke. Kwa kitaalamu inaitwa mimba ya ectopic, ambapo yai lililorutubishwa linajishikiza sehemu nyingine tofauti na mfuko [Read Post]
