Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Ugonjwa wa tezi dume husababishwa na nini
Tezi dume ni kiungo kidogo cha mfumo wa uzazi wa kiume, kilichopo chini ya kibofu cha mkojo na kinapitia mrija wa mkojo (urethra). Licha ya kuwa na ukubwa wa karanga, [Read Post]
