Simu za Mkopo Airtel

Simu za Mkopo Airtel
Simu za Mkopo Airtel

Airtel Wamewarahisishia maisha na kuwathamini Wateja wao kwa kuwaletea simu za mkopo ushirikiano na JUMO kwa Walokidhi Vigezo na Masharti na kuwaruhusu kulipa kidogo kidogo.

Simu Mpya ya Itel A80

Kampuni ya Airtel na Itel wamezindua simu ya Itel A80 kwa wateja wa Tanzania. Simu hii ina sifa za kisasa kama:

  • Skrini ya 6.7 inch yenye punch-hole
  • Betri ya 5000mAh inayodumu kwa muda mrefu
  • Kamera ya 13MP (nyuma) na 8MP (mbele)
  • Nafasi ya kuhifadhi data ya 128GB + 8GB RAM
  • 4G kwa kasi ya mtandao.

Soma Hii :Makato ya NBC bank kwa mwezi

Bei na Mikopo:

Wateja wanaweza kununua simu hii kwa Tsh 265,000/= kwa fedha taslimu au kwa mkopo kwa kianzio cha Tsh 55,000/=. Kwa kila malipo ya siku (Tsh 1,200), wateja wanapokea MB 250 bure kwa miezi sita.

Jinsi ya Kupata Simu za Mkopo Airtel

Jinsi ya Kupata Simu za Mkopo Airtel

Mchakato wa Maombi

  1. Piga *150*60# na fuata maelekezo kwenye menyu ya Airtel Timiza.
  2. Thibitisha taarifa zako (jina, nambari ya simu, akaunti ya Airtel Money).
  3. Chagua kiasi cha mkopo na muda wa malipo (siku, wiki, mwezi, au miezi sita).

Malipo na Marejesho

  • Malipo ya kiotomatiki: Kiasi hukatwa moja kwa moja kutoka kwa akaunti ya Airtel Money kwenye tarehe ya mwisho.
  • Ada ya kuchelewa10% ya kiasi kilichosalia ikiwa hulipwa kwa wakati.
SOMA HII :  Malipo ya uhamisho kwa watumishi wa umma
About Burhoney 4807 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati