Katika kila uhusiano, kumaliza siku na tendo la ndoa kunaweza kuwa ni wakati wa kipekee na wa furaha. Hata hivyo, ili kuhakikisha kuwa unapata uzoefu mzuri, ni muhimu kuzingatia mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kile unachokula kabla ya tendo la ndoa. Vyakula bora vinaweza kusaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa, kuboresha mtindo wa maisha na kuhakikisha kuwa mwili wako uko katika hali bora.
▪️ Chaza,
Chaza au kwa kitaalamu huitwa Oyters ni aina ya samaki mwenye gamba gum ambae hupataikana Bahraini,
Chaza ni samamki ambao wana madini aina ya protini, magnisieum na madini ya zinc kwa wingi kuliko chakula chochote,
Madini ambayo tafiti zimeonesha kuwa na mchango mkubwa sana katika kutibu Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume,
Kadhalika madini ya zinc yaliyomo katika samaki huyo aina ya Chaza,
Husaidia katika kuongeza hamu ya tendo la ndoa, kuimarisha na kukuza misuli ya mwili ikiwemo uume, pamoja na kuzalisha manii ya kutosha ( Sperm )
Tumia samaki huyu hasa hasa wakati wa usiku utanishkuru sana.
▪️ Komamanga,
Komamanga ni Tunda lenye mchango mkubwa katika kuongeza mood na hamu ya kushiriki tendo la ndoa,
Pia tunda hili husaidia katika kuboresha mzunguko wa damu na hivyo kufanya uume usimame vizuri.
Ukipata Juice yake itakua vizuri zaidi.
▪️ Chocolate.
Chocolate ni bidhaa ambayo kutokana na muonekano wake, ladha yake ya utamu,
Hupelekea kuzalishwa kwa Hormone iitwayo serotonini,
Homoni ambayo huleta hali ya mtu kuwa na furaha, pamoja na kujiskia vizuri ( well being ),
Pia chocolate ina chemical Ndani yake ambayo husaidia katika kuongeza matamanio na mahaba baina ya wanandoa.
Nb, usitumie kila siku inaweza kukusababishia tatizo la meno pia sukari iliyomo sio salama zaidi kiAfya. Tumia mara moja moja.
Soma hii :Jinsi ya kumshawishi mwanamke akupe penzi
▪️ Tiki tiki Maji,
Tunda hili la Tikitiki maji lina amino acid Ndani yake iitwayo citrulline,
Ambayo kazi yake ni kuzibua mishipa ya damu ili iweze kusafirisha damu vizuri,
Na hivyo kupelekea uume uweze kusimama vizuri.
▪️ Parachichi
Parachichi ni Tunda ambalo limesheheni mafuta mazuri pamoja na nyuzi nyuzi,
Mafuta hayo kazi yake kubwa ni kukupa nguvu ya mwili,