Nauli za Precision Air Dar es Salaam to Dodoma

Nauli za Precision Air Dar es Salaam to Dodoma
Nauli za Precision Air Dar es Salaam to Dodoma

Safari ya za ndege Hurahisisha Safari kwa kuokoa muda kutokana na uharaka wa mwendo wa ndege ,Precision Air ni miongoni mwa makampuni ya Ndege yanayofanya safari zake kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma Hapa tumekuwekea Gharama kamili za Nauli.

Nauli za Precision Air Dar es Salaam to Dodoma

Tiketi ya Uchumi

$72 – $90

Bei hutegemea msimu na upatikanaji wa tiketi

Tiketi ya Biashara

$134 – $150

Inajumuisha huduma za ziada kama vile vinywaji na kifungua kinywa

Tiketi ya Daraja la Kwanza

$150 na zaidi

Inajumuisha huduma za kifahari kama vile sehemu za mapumziko za kipekee

Maelezo ya Safari

  • Muda wa Safari: Safari ya moja kwa moja kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma inachukua takriban saa 1 na dakika 15.
  • Umbali wa Safari: Umbali wa anga kati ya miji hii miwili ni takriban kilomita 389.17.

Soma Hii :Bei ya TV za Hisense Inch 32 Smart TV Zanzibar na Tanzania

Msimu wa Safari

  • Msimu wa Bei Nafuu: Agosti ni mwezi ambapo nauli huwa nafuu zaidi kutokana na idadi ndogo ya wasafiri.
  • Msimu wa Bei Juu: Oktoba ni mwezi ambao nauli huwa juu zaidi kutokana na ongezeko la wasafiri.

Unaweza kukata Ticketi yako kupitia website ya Precision Air au  Trip.com

SOMA HII :  Bei Ya Friji Za Boss 2025 | Friji Za Boss Na Bei Zake
About Burhoney 4809 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati