JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

 

Bei ya friji za Boss hutofautiana kulingana na ukubwa, aina ya friji (model), na muuzaji. Kwa wastani, unaweza  kupata kwa bei kati ya Tsh 300,000 hadi Tsh 2,000,000 kwa friji mpya ya Boss kulingana na ukubwa. HIzi apa chini ndizo bei za friji za boss kwa ukubwa

UkubwaBeiMuuzaji (Instagram Name)
BS70 FRIDGE LITA 60                    345,000kariakoo_mall
Fridge Boss BS LITA 70                    380,000kariakoo_mall
BS70 FRIDGE LITA 90                    410,000Friji_Beipoa
BS70 FRIDGE LITA 100                    450,000og_electronixtz
BS70 FRIDGE LITA 145                    620,000kariakoo_mall
Fridge Boss BS 185                    650,000og_electronixtz

Ni wapi unaweza Kununua Friji za Boss

Friji za Boss zinapatikana katika maduka makubwa ya vifaa vya elektroniki kote Tanzania. Pia unaweza kuzinunua mtandaoni kupitia tovuti za maduka hayo au tovuti za biashara za mtandaoni.

Mambo ya Kuzingatia Unaponunua Friji ya Boss

Kabla ya kununua friji, zingatia mambo yafuatayo:

  1. Ukubwa na Uwezo – Hakikisha friji inakidhi mahitaji yako ya kuhifadhi vyakula.
  2. Matumizi ya Umeme – Chagua friji yenye teknolojia ya kuokoa umeme (Energy Saving).
  3. Aina ya Compressor – Friji zenye inverter compressors zinatumia umeme kidogo na ni tulivu.
  4. Dhamana na Huduma kwa Wateja – Angalia dhamana ya kifaa na upatikanaji wa vipuri.
  5. Bei na Bajeti – Chagua friji inayolingana na bajeti yako bila kuathiri ubora.
JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
Share.

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

Leave A Reply