Msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara umefika hatua ya kusisimua, huku timu zikionyesha ushindani mkali katika mbio za ubingwa. Hadi kufikia tarehe 22 Februari 2025, msimamo wa ligi unaonyesha mabadiliko muhimu, hasa katika nafasi za juu na za chini.
Msimamo Ligi Kuu NBC 2024/2025 | Msimamo Wa Ligi Kuu Bara
Pos
Timu
P
W
D
L
GF
GA
GD
Pts
1
Young Africans
22
19
1
2
58
9
49
58
2
Simba
21
17
3
1
46
8
38
54
3
Azam FC
22
13
6
3
32
12
20
45
4
Singida Black Stars
22
12
5
5
31
19
12
41
5
Tabora
22
10
7
5
26
26
0
37
6
JKT Tanzania
22
6
9
7
16
16
0
27
7
Dodoma Jiji FC
21
7
5
9
22
27
-5
26
8
Fountain Gate
22
7
4
11
26
39
-13
25
9
Coastal Union
22
5
9
8
18
23
-5
24
10
KMC
22
6
6
10
15
32
-17
24
11
Mashujaa FC
22
5
8
9
17
26
-9
23
12
Namungo FC
22
6
5
11
16
27
-11
23
13
Pamba
22
5
7
10
13
23
-10
22
14
Tanzania Prisons
22
4
6
12
12
27
-15
18
15
Kagera Sugar
22
3
7
12
16
30
-14
16
16
Kengold FC
22
3
6
13
18
38
-20
15
MP- Michezo Iliyochezwa (Match Played)
W- Ushindi (Winsi)
D- Sare (Draw)
L-Kufungwa (Lose)
GF- Magoli Ambayo Timu Imefunga (Goal For)
GA- Magoli Ambayo Timu Imefungwa (Goals Against)
GD- Tofauti Ya Magoli (Goal Difference)
PTS- Jumla Ya Alama (Points)
Mwelekeo wa Msimu Huu
Ushindani Mkali
Kama kawaida, mechi kati ya Simba SC na Yanga SC zinabaki kuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki, zikiwa zimejaa ushindani wa hali ya juu.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati