Mfano na Muundo wa Barua ya Kazi ya Ualimu TAMISEMI

Mfano na Muundo wa Barua za Kazi ya Ualimu TAMISEMI
Mfano na Muundo wa Barua za Kazi ya Ualimu TAMISEMI

Kuandika barua ya kazi ni hatua muhimu kwa mwalimu anayetaka kuajiriwa chini ya TAMISEMI (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa). Barua yako inapaswa kuwa rasmi, yenye mpangilio mzuri na kuonyesha sifa zako kitaaluma. Hapa chini ni mwongozo wa jinsi ya kuandika barua ya kazi pamoja na mfano wa barua halisi.

Jinsi ya Kuandika Barua ya Kazi ya Ualimu

  1. Anuani – Anza na anuani yako upande wa juu kushoto kisha ifuate na anuani ya mwajiri (Mkurugenzi wa Halmashauri au Katibu wa TAMISEMI).
  2. Tarehe – Andika tarehe ya kuandika barua.
  3. Kichwa cha Barua – Kichwa cha habari kinapaswa kuwa kifupi na kinachoeleweka, mfano: Omba la Nafasi ya Kazi ya Ualimu.
  4. Salamu – Tumia salamu rasmi kama Yah: Mkurugenzi wa Halmashauri.
  5. Utambulisho – Eleza jina lako, namba ya simu, na taaluma yako.
  6. Uzoefu na Sifa – Eleza kwa ufupi elimu yako, uzoefu wa kazi, na sababu unavyoamini kuwa unafaa kwa nafasi hiyo.
  7. Mwisho wa Barua – Malizia barua yako kwa maneno ya heshima na utu, pamoja na kutaja viambatisho vyovyote kama vyeti vya taaluma.

Mfano wa Muundo wa Barua ya Kazi ya Ualimu TAMISEMI

Mfano na Muundo wa Barua za Kazi ya Ualimu TAMISEMI

SOMA HII : Jinsi ya Kujisajiri na Mfumo wa Maombi ya Ajira TAMISEMI

Kwa kuhitimisha, barua yako inapaswa kuwa fupi, yenye mpangilio mzuri na kuonyesha sifa zako kuu. Hakikisha unakagua barua yako kwa makosa ya kisarufi kabla ya kuituma. Kila la heri katika maombi yako ya kazi!

SOMA HII :  Sengerema Health Training Institute(SHTI) Courses Offered and Entry Requirements
About Burhoney 4807 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati