Jiandae na Usaili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa kupitia Maswali mbalimbali ambayo wanapenda kuyauliza katika Interview zao ili ujiweke katika asilimia za kushinda na kupenya kwenye Usaili.
Aina za Interview za TRA
Mamlaka ya mapato Tanzania huwa na aina mbili za Usaili ambazo ni Usaili wa kuandika (Mtihani wa maswali manne) na usaili wa Ana kwa ana.
Usaili wa Kuandika TRA: Huu ni Usaili wa awali ambao una mfumo wa usaili ambao watainiwa walioitwa kwenye Usaili hufanya mtihani wa kujieleza na sio maswali ya kuchagua.
Usaili wa Ana kwa Ana : Mara baada ya Kufaulu kwenye Usaili wa awali watainiwa huitwa katika usaili wa pili wa mahojiano ya ana kwa ana ama oral.
SOMA HII :Fomu za Kujiunga na Chuo cha Ufundi VETA 2025 PDF
Maswali ya Usaili TRA na Material mbalimbali