Kutengeneza sabuni ya unga nyumbani au kwa biashara ni wazo zuri linaloweza kukupa fursa ya kufanya biashara yenye manufaa, huku ukitoa bidhaa za asili na zenye ubora. Katika makala hii, tutakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza sabuni ya unga, ikiwa ni pamoja na viungo unavyohitaji, vifaa, na mchakato mzima.
MAHITAJI MUHIMU.
.Optical bytina.
.sodium carbonate.
.sulphonic acid.
.Sodium sulphate.
.Hoda ash.
.Hydrogen peroxide.
.Rangi.
.Perfume.
Kifaa | Kiasi |
---|---|
Sodium hydroxide | 1 kg |
Maji | 3 lita |
Mafuta ya alizeti | 2 lita |
Sulphonic acid | 200 g |
Sodium carbonate | 100 g |
Rangi (hiari) | Kiasi kidogo |
JINSI YA KUTENGENEZA.
Andaa chombo chochote kinachoendana na wingi wa sabuni unayotaka kutengeneza na anza kutengeneza kwa kufuata hatua zifuatazo.
.weka sodium carbonate kwenye chombo ulichoandaa kg2 na nusu.
.Baada ya hapo weka optical bytina vijiko kumi(10)vya chakula.
.halafu weka sodium sulphate vijiko vitano vya chakula.
.weka soda ash kg7 na ukoroge kwa muda wa dakika kumi.
HATUA YA PILI.
.Sulphonic acid kilo 2 na nusu.
.nausa vijiko 15 vya chakula.
.Hydrogen peroxide kama ni ya unga weka kilo mbili kama ya maji weka lita mbili.
.rangi vijiko vitano vya chakula.
. changanya na perfume vijiko sita vya chakula.
.baada ya mchanganyiko huo anika kwenye kuvuli kwa kuwa juani inaweza kuyeyuka.sabuni yako itakauka kwa kujiachia.Kusanya weka kwenye mifuko tayari kwa kuuza.
ONYO:Baadhi ya malighafi ni acid kwahiyo umakini unatakiwa wakati wa kutengeneza,hakikisha mikono yako imelindwa kwa gloves na usishike acids au kula wakati unafanya kazi.Tafadhari watu wazima ndio wafanye kazi hii.