Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Mche (Sabuni ya Kipande)
Biashara

Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Mche (Sabuni ya Kipande)

BurhoneyBy BurhoneyMarch 15, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Mche (Sabuni ya Kipande)
Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Mche (Sabuni ya Kipande)
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Sabuni ya mche, au sabuni ya kipande, ni moja ya bidhaa maarufu za usafi zinazotumika kila siku. Kutengeneza sabuni ya kipande nyumbani au kama biashara ni njia nzuri ya kuanzisha biashara yenye manufaa na kujenga bidhaa zenye ubora wa asili.

Viungo Muhimu vya Kutengeneza Sabuni ya Mche (Sabuni ya Kipande)

(I)CAUSTIC SODA

(II)MAFUTA YA NAZI,MISE,MBOSA AU MAWESE AU YA NYONYO

(III)MAJI

(IV)PAFYUM

(V)HYDROGEN PEROXIDE

(VI)CHUMVI KWAAJILI YA KUIFANYA SABUNI NZITO NA ISIISHE HARAKA

Vifaa Unavyohitaji Kutengeneza Sabuni ya Mche

Kutengeneza sabuni ya kipande kunaweza kuwa rahisi ikiwa utakuwa na vifaa sahihi. Hapa ni baadhi ya vifaa vya muhimu:

  • Chombo cha chuma au kauri (kwa ajili ya kuchanganya viungo na lye)
  • Chombo cha kutengeneza sabuni (Moldi) – inaweza kuwa moldi ya plastiki au chombo cha chuma kinachoweza kutoa umbo la kipande cha sabuni
  • Glovu za kinga (kwa ajili ya usalama wakati wa kushughulika na lye, ambayo ni kemikali kali)
  • Kijiko cha mchanganyiko (au mikono yako) kwa kuchanganya viungo
  • Thermometer (kama inahitajika, ili kupima joto la lye na mafuta)
  • Pamba au brashi kwa ajili ya kupamba sabuni na kuipa muundo wa kipekee

Soma Hii :Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga

Hatua za Kutengeneza

HATUA YA KWANZA;

Loweka caustic soda kilo tatu kwenye maji lita 9 na unapaswa kutumia chombo cha bati na sio cha plastic.Koroga kwa muda wa dakika 15 na acha kwa muda wa siku 5.

HATUA YA PILI;

Chagua aina ya mafuta mojawapo ambayo umeyapata na anza kuchanganya sasa.Changanya caustic soda1 na mafuta lita 1 na nusu.changanya na gryceline vijiko viwili vya chakula.pafyumu kijiko kimoja cha chai.chumvi kijiko kimoja cha chakula.koroga kwa pamoja na uweke kwenye umbo na sabuni itakuwa tayari

SOMA HII :  Bei ya Samsung Galaxy S23 FE na Sifa zake

 

Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Jinsi ya Kuanza Biashara ya Hardware: Mwongozo Kamili kwa Mwanzo

November 28, 2025

Gharama za leseni ya biashara

November 28, 2025

Mashine Za Kukamua Alizeti na Bei zake

November 25, 2025

Top 10 best Clearing and Forwarding companies in Tanzania

September 13, 2025

List of clearing and forwarding companies in Dar es Salaam Tanzania

September 13, 2025

Bei Ya Mafuta Ya Parachichi

April 15, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Zimamoto Recruitment Portal Login:Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

December 13, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Zima moto PDF Download December 2025

December 12, 2025

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

December 12, 2025

Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili kada ya Afya na Ualimu Ajira portal December 2025

December 4, 2025

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Kada za Afya na Elimu TAMISEMI

November 26, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.