Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Jinsi ya Kupata Namba ya NIDA Kwa Simu
Makala

Jinsi ya Kupata Namba ya NIDA Kwa Simu

BurhoneyBy BurhoneyMarch 1, 2025Updated:March 1, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Jinsi ya Kupata Namba ya NIDA Kwa Simu
Jinsi ya Kupata Namba ya NIDA Kwa Simu
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Namba ya NIDA (National Identification Number) ni muhimu kwa shughuli nyingi za kiserikali na binafsi, kama vile kufungua akaunti ya benki, kusajili laini ya simu, na kupata huduma za afya. Ikiwa umeshasajiliwa na NIDA lakini hujui namba yako, unaweza kuipata kwa urahisi kupitia simu yako ya mkononi bila kulazimika kwenda ofisi za NIDA. Katika makala hii, tutakuelekeza jinsi ya kupata namba yako ya NIDA kwa haraka kwa kutumia simu.

Hatua za Kufuata lli Kupata Namba ya NIDA Kwa SMS

Hatua za Kufuata lli Kupata Namba ya NIDA Kwa SMS

Hii ni njia rahisi na ya haraka zaidi ya kupata namba yako ya NIDA. Fuata hatua hizi:

  1. Fungua sehemu ya ujumbe mfupi (SMS) kwenye simu yako.
  2. Andika ujumbe wenye muundo ufuatao:
    NIDA#Namba ya Kitambulisho cha Mpiga Kura au Namba ya Simu Uliyosajili NIDA
  3. Tuma ujumbe huo kwenda 15096.
  4. Subiri ujumbe wa majibu utakaoonyesha namba yako ya NIDA ikiwa taarifa zako zipo kwenye mfumo wa NIDA.

Kupata Namba Ya NIDA Kwa Simu Kupitia USSD

USSD kwa kirefu (Unstructured Supplementary Service Data)hii ni njia ya kuangalia namba yako ya NIDA kwa kutumia code maatumu za simu. Hii pia ni njia rahisi kwenye kupata namba yako ya NIDA

Hatu za Kupata Namba ya NIDA Kwa USSD

  1. Piga *152*00# kwenye simu yako ya mkononi.
  2. Chagua namba 3 (Ajira na Utambuzi).
  3. Chagua namba 2 (NIDA).
  4. Ingiza majina yako kamili kama ulivyo jisajili na NIDA mfano, “Alex John Msekwa”
  5. Kisha ingiza namba ya simu uliyojaza kwenye fomu ya maombi
  6. Kubali ombi lako.
  7. Utapokea ujumbe mfupi wa maneno (SMS) wenye namba yako ya NIDA.

Masuala Yanayoweza Kujitokeza na Jinsi ya Kuyatatua

Wakati wa kutafuta namba yako ya NIDA, unaweza kukumbana na changamoto zifuatazo:

  • SMS haifanyi kazi: Hakikisha umetuma ujumbe kwa namba sahihi (15096) na unatumia namba ya simu sahihi au namba ya kitambulisho cha mpiga kura.
  • Hakuna taarifa zinazopatikana: Inawezekana bado hujasajiliwa na NIDA au kuna makosa katika taarifa zako. Katika hali hii, unapaswa kutembelea ofisi za NIDA zilizo karibu.
JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

Related Posts

Chanzo cha uchawi duniani

June 14, 2025

Chanzo cha meli ya titanic kuzama

June 14, 2025

Chanzo cha vita urusi na ukraine

June 14, 2025

Majina ya Form Six Waliochaguliwa Kujiunga na JKT Kwa Mujibu wa Sheria 2025

May 27, 2025

100+ misemo maarufu kuhusu maisha

May 25, 2025

Misemo ya dharau ya kuchekesha na ya kupost status

May 24, 2025
Leave A Reply Cancel Reply

Latest Posts

Nafasi 137 za Kazi Kutoka UTUMISHI – Taasisi Mbalimbali Juni 2025

June 13, 2025

Nafasi 83 za Kazi Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) June 2025

June 12, 2025

Nafasi za Kazi – NARCO (Kampuni ya Ranchi za Taifa) – Juni 2025

June 12, 2025

Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Utumishi PSRS 2025 PDF Download

June 12, 2025

Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI na Ajira Portal 2025

June 12, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.