Kama unapenda wanawake wa kizungu au mademu kutoka mataifa ya ulaya na Amerika basi upo sehmu sahihi hapa tunakupa Maujanja jinsi unavyoweza kumnasa manzi wa kizungu.
1. Tumia Programu za Kutafuta Wachumba
Programu kama Tinder na Bumble ni maarufu duniani kote na zina watumiaji wengi kutoka nchi za Magharibi. Programu hizi zinakupa fursa ya kuungana na watu wa tamaduni tofauti na kuanzisha mazungumzo ya kirafiki.
2. Jiunge na Mitandao ya Kijamii
Mitandao ya kijamii kama Facebook na Instagram inatoa nafasi ya kuungana na watu kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Unaweza kujiunga na vikundi au kurasa zinazohusiana na maslahi yako ili kukutana na watu wapya.
3. Tumia Tovuti za Penpal
Tovuti kama InterPals zinatoa jukwaa la kuandika barua pepe na watu kutoka nchi tofauti. Hii ni njia nzuri ya kujenga urafiki na kujifunza kuhusu tamaduni mpya.
Kufanikiwa
Kuwa na Uvumilivu: Kujenga uhusiano wa kweli kunachukua muda. Usikate tamaa ikiwa mambo hayaendi haraka kama ulivyotarajia.
Heshimu Tofauti za Kitamaduni: Kila tamaduni ina njia zake za kipekee za kuwasiliana na kuonyesha hisia. Jifunze na heshimu tofauti hizi unapowasiliana na wanawake wa kizungu.
Kuwa Mkweli: Uaminifu na uwazi ni muhimu katika kujenga uhusiano wa kudumu.
Jinsi ya Kuanza Kumtongoza mwanamke wa kizungu
Kitu cha kwanza kufanya unapokutana nae ni;
*kujitambulisha kwa jina,(hii uwa ni kama salamu).na inategemea mnakutana wapi na sio tu bara barani.
baaada ya hapo unaweza kumuuliza ana miaka mingapi,kazi,anapoishi na vitu vingine tu vya kawaida.
*acha siku mbili tatu zipite kwa mara ya pili mnapokutana,muombe kuwa rafiki yake(kabla ya kumtongoza wanaomba kwanza urafiki).maana wengine uwa aanauliza urafiki wa aina gani,
Maana kuna
-urafiki wa faida, huu ni urafiki ambao unaweza kuwa unatembea nae bila ya wewe kuwa kwenye mahusiano nae au kuwa mpenzi wako,mfano wewe unajinsia kutembea nae unamuomba leo nataka,anakuja anakupa na maisha yaendelea,hata na yeye akikuitaji unampa hivyo hivyo.
-kuna urafiki wa kawaida,huu ni urafiki wa kutembea,kula,hata kulala na kufanya mambo mengine pamoja bila kuwa kwenye mahusiano,
-kuna urafiki wa mpenzi,huu ni urafiki mtu ni mpenzi wako,unatembea nae ila hamna malengo ya kuoana au kuishi pamoja.kama wewe ni mpenzi wake hivyo hawezi kuwa na mwanaume mwingine mpaka pale mtakapo achana.
kwaiyo ukipewa na fursa hiyo unaweza kuchagua yeyote na ukapata uraisi wa kuwa nae.
*baada ya urafiki ikiwa ni urafiki tu wa kawaida mara nyingi ndo unatokea,penda kumualika kwenye mazoezi ya kutembea,football,kahawa,diner,meetup.
Na unaweza kumwambia hivi,kesho saa fulani dakika kadha nitakuwa nafanya mazoezi sehemu fulani unaweza kuja tujumuhike kwa pamoja(mambo hayo yanamfanya aone unamjali sana).
*muulize kama ana boyfriend,ila hii unaweza kumuuliza hata siku ya kwanza kukutana nae si tatzo,akiwa anae atakuwambia kama hana vile vile atakuambia ukweli.