Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Jinsi Ya Kujiunga Na Bima Ya Afya Nhif
Biashara

Jinsi Ya Kujiunga Na Bima Ya Afya Nhif

BurhoneyBy BurhoneyMarch 19, 2025Updated:March 19, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Jinsi Ya Kujiunga Na Bima Ya Afya Nhif
Jinsi Ya Kujiunga Na Bima Ya Afya Nhif
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Fahamu Utaratibu rahisi wa wananchi kujiunga na Bima ya Afya kuelekea Bima ya Afya kwa Wote ,Makala hii tumeelezea pia namna sahihi ya Ujazaji wa fomu ya Bima ya afya NHIF.

Mahitaji ya Kujiunga

KipengeleMahitaji
MchangiajiHati ya mshahara, picha ya pasipoti
MwenzaCheti cha ndoa, picha ya pasipoti
WatotoVyeti vya kuzaliwa, picha za pasipoti
Wazazi/WakweCheti cha kuzaliwa cha mchangiaji, picha za pasipoti
MalipoTZS 340,000 kwa kaya ya watu sita kwa mwaka

Hatua za Kujiunga na NHIF

Kujaza Fomu za Maombi: Tembelea ofisi ya NHIF iliyo karibu au tovuti yao ili kupata fomu za maombi. Jaza fomu kwa usahihi, ukijumuisha taarifa za mchangiaji, mwenza, na wategemezi.

Viambatanisho Muhimu: Andaa viambatanisho vifuatavyo:

  • Mchangiaji: Hati ya kupokelea mshahara (salary slip) yenye makato ya bima ya afya na picha ya hivi karibuni ya ukubwa wa pasipoti.
  • Mwenza: Nakala ya cheti cha ndoa na picha ya hivi karibuni ya ukubwa wa pasipoti.
  • Watoto: Nakala ya vyeti vya kuzaliwa na picha za hivi karibuni za ukubwa wa pasipoti.
  • Wazazi/Wakwe: Cheti cha kuzaliwa cha mchangiaji na picha za hivi karibuni za ukubwa wa pasipoti.
  • Malipo: Lipa ada ya kujiunga kupitia benki au njia nyingine zilizowekwa na NHIF. Kwa kaya ya watu sita, ada ni TZS 340,000 kwa mwaka.

Utaratibu wa ujazaji wa Fomu za Bima ya Afya (NHIF).

Utaratibu wa ujazaji wa Fomu za Bima ya Afya (NHIF)

Idadi ya watu wanaotakiwa kujazwa kwenye fomu ya bima ya afya ni 16 kwa mtiririko ufuatao;

Mchangiaji mwenyewe na mwenza wake(mke au mme)

Faili ya watoto wasiozidi 4 chini ya miaka 18,au wazazi/wakwe katika idadi hiyo ya watu wane(40 maana unaweza ukawajaza watoto wawili(2) na wazazi (2).

1. VIAMBATANISHO

Mchangiaji:

1.Hati ya kupokelea mshahara(salary slip) yenye makato ya bima ya afya.

2.Picha zenye ukubwa wa pasipoti(passport size) moja ya hivi karibuni.

Mwenza(Mke au mme)

1.Nakala ya  cheti cha ndoa (copy)

2.Picha zenye ukubwa wa pasipoti(passport size) moja ya hivi karibuni.

Watoto:

1.Nakala ya Vyeti vya kuzaliwa(copy).

2. Picha zenye ukubwa wa pasipoti(passport size) moja ya hivi karibuni.

Wazazi:

1.Cheti cha kuzaliwa cha mchangiaji (mtumishi).

2 Picha zenye ukubwa wa pasipoti(passport size) moja  ya hivi karibuni

Wakwe:

  1. Cheti cha ndoa
  2.  Picha zenye ukubwa wa pasipoti(passport size) moja ya hivi karibuni

•Kuongeza mtegemezi:

Viambatanisho ni vilevile saraly slip,picha pasporti size na nakala ya cheti cha kuzaliwa.

Utalipia benki Tzsh 20,000/=kwa kila kadi iliyopotea kwa akaunti namba 61010016954 yenye jina Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

Baada ya hapo utamwona Mratibu ukiwa na loss Report ya polisi,pay slip ya benki uliyolipia na picha passport size ili ujaze fomu nyingine uweze kupata kadi nyingine.

Kwa wastaafu:

Viambatanisho

1.Nakala ya kibali cha kustaafu

2.Unarudisha kodi ulizopewa pamoja na wategemezi wako.

3.Picha yako passport size pamoja na ya mwenza wako ya hivi karibuni ili uandaliwe kadi nyingine.

4.Kama kuna kadi zimepotea kati ya kadi sita(6) ulizopewa,utaripoti kwa mratibu wa Bima ya Afya au Afisa Utumishi ili uandikiwe barua ya kwenda nayo polisi.

Kupata Kadi ya Bima: Baada ya kukamilisha malipo na kuwasilisha viambatanisho vyote, utapokea namba ya kitambulisho ambayo itakuruhusu kupata huduma za afya. Mfuko hautatoa vitambulisho halisi.

Aina ya Vifurushi Vya Bima ya Afya NHIF kwa Mtu Binafsi na Gharama zake

Aina ya Vifurushi Vya Bima ya Afya NHIF kwa Mtu Binafsi na Gharama zake

JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

Related Posts

Bei Ya Mafuta Ya Parachichi

April 15, 2025

Wauzaji wa ng’ombe wa maziwa Tanzania

April 15, 2025

Bei Ya Ng’ombe Wa Maziwa

April 15, 2025

Gharama za kusafirisha mizigo kwa treni

April 15, 2025

Gharama za kusafirisha mzigo au Bidhaa kutoka Zanzibar

April 15, 2025

Bei ya Simu za Oppo na Sifa zake (Specifications)

April 15, 2025
Leave A Reply Cancel Reply

Latest Posts

Nafasi 137 za Kazi Kutoka UTUMISHI – Taasisi Mbalimbali Juni 2025

June 13, 2025

Nafasi 83 za Kazi Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) June 2025

June 12, 2025

Nafasi za Kazi – NARCO (Kampuni ya Ranchi za Taifa) – Juni 2025

June 12, 2025

Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Utumishi PSRS 2025 PDF Download

June 12, 2025

Majina Ya Walioitwa Kwenye Usaili UTUMISHI na Ajira Portal 2025

June 12, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.