Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Aina ya Vifurushi Vya Bima ya Afya NHIF kwa Mtu Binafsi na Gharama zake
Makala

Aina ya Vifurushi Vya Bima ya Afya NHIF kwa Mtu Binafsi na Gharama zake

BurhoneyBy BurhoneyMarch 10, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Aina ya Vifurushi Vya Bima ya Afya NHIF kwa Mtu Binafsi na Gharama zake
Aina ya Vifurushi Vya Bima ya Afya NHIF kwa Mtu Binafsi na Gharama zake
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatoa vifurushi mbalimbali vya bima ya afya kwa mtu binafsi, vikiwa na lengo la kukidhi mahitaji tofauti ya kiafya na uwezo wa kifedha wa wanachama. Fahamu Aina ya Vifurushi Vya Bima ya Afya NHIF kwa Mtu Binafsi na Gharama zake.

Aina ya Vifurushi Vya Bima ya Afya NHIF kwa Mtu Binafsi

Aina ya Vifurushi Vya Bima ya Afya NHIF kwa Mtu Binafsi
Aina ya Vifurushi Vya Bima ya Afya NHIF kwa Mtu Binafsi

Serengeti Afya

Kifurushi hiki kinatoa wigo mpana wa huduma za matibabu, ikiwemo:

  • Huduma za madaktari wa kawaida, bingwa, na bingwa bobezi.
  • Vipimo vya kina kama CT-Scan, MRI, Ultra Sound, na X-ray.
  • Matibabu ya magonjwa sugu kama kisukari, shinikizo la damu, na magonjwa ya moyo.
  • Huduma za uzazi, upasuaji mkubwa na mdogo, pamoja na matibabu ya saratani (dawa na mionzi tiba).
  • Huduma za meno, utengamao, na vifaa tiba pandikizi.

Ngorongoro Afya

Hiki ni kifurushi kinacholenga huduma za msingi na baadhi ya huduma za kibingwa, ikiwemo:

  • Huduma za madaktari wa kawaida na bingwa.
  • Vipimo vya maabara, CT-Scan, na Ultra Sound.
  • Matibabu ya magonjwa sugu na baadhi ya magonjwa ya saratani.
  • Huduma za uzazi na baadhi ya upasuaji mdogo.

Viwango vya Michango kwa Wanachama wa Bimba ya Afya ta NHIF

Kiwango cha mchango kinategemea ukubwa wa familia na kifurushi kinachochaguliwa. Kwa mfano:

  1. Serengeti Afya: Kuanzia TZS 660,000 kwa mtu mmoja mwenye umri wa miaka 18-35.
  2. Ngorongoro Afya: Kuanzia TZS 240,000 kwa mtu mmoja mwenye umri wa miaka 0-17.

Jinsi ya Kujisajili na Vifurushi Vya Bima ya Afya NHIF 2024

 

JJ

Bonyeza Hapa Kujisajili

SOMA HII :  Jinsi ya Kuondoa Error 77 kwenye mita za Tanesco 2421
Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Vidonge vya Uzazi wa Mpango kwa Mama Anayenyonyesha

December 15, 2025

Dawa ya malaria kwa mama mjamzito

December 15, 2025

How to register mukuru in zimbabwe

December 8, 2025

Hadithi za kutia moyo

December 8, 2025

Bei ya mashine ya kutengeneza mkaa mbadala

December 1, 2025

Jinsi ya kutengeneza mkaa kwa kutumia vumbi la mkaa

December 1, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Zimamoto Recruitment Portal Login:Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

December 13, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Zima moto PDF Download December 2025

December 12, 2025

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

December 12, 2025

Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili kada ya Afya na Ualimu Ajira portal December 2025

December 4, 2025

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Kada za Afya na Elimu TAMISEMI

November 26, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.