Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika
Mahusiano

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

jinsi ya kurudisha SMS zilizo futika kwenye simu yako ikiwa na njia ya kufanya back ya SMS zako.
BurhoneyBy BurhoneyMarch 17, 2025No Comments3 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika
Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Inawezekana ukawa umefuta sms zako kwa Bahati mbaya au pia iawezekana ukawa Ulifuta kwa makusudi lakini baadae ukaja kugundua kuwa unazihitaji Basi kama ndivyo hii makala inakuhusu kaa nasi soma mwanzo mpaka mwisho.

Jinsi ya Restore (Kurudisha) SMS Meseji Zlizofutika

Kwa kuanza Download app hiyo kwa kubofya hapo link hapo chini, kisha kupakua app hiyo moja kwa moja kwenye simu yako ya Android.

Download App Hapa

Kama kwa namna yoyote sasa unataka kurudisha meseji zilizo futika kwa bahati mbaya kwenye simu yako, unaweza kufuata hatua hizi rahisi. Fungua app hiyo ya SMS Backup & Restore kisha bofya sehemu ya menu iliyopo kushoto juu.

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Baada ya hapo kwenye menu hiyo tafuta sehemu iliyoandikwa Restore, sehemu hiyo ni ya tatu kwenye menu hiyo kutoka juu.

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Chagua backup unayotaka kurestore, kama unazo backup tofauti hakikisha unachagua backup ambayo unataka, bila shaka unataka backup mpya, hivyo chagua backup yenye tarehe ya karibuni.

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Baada ya hapo, sasa endelea kwa kubofya kitufe cha Restore kilichopo chini upande wa kulia.

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Kabla ya kuanza kurudisha meseji zako unatakiwa kuruhusu app hii kuweza kurudisha meseji zako kwa kubofya sehemu ya OK ambayo itatokea kwenye maelezo yatakayo kuja ya kioo cha simu yako mara baada ya hatua iliyopita.

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Baada ya hapo sasa bofya kuruhusu app hii kuwa default kwa muda kwa kubofya Yes kwenye hatua hiyo ili kuanza kurudisha meseji zako moja kwa moja.

Soma Hapa : Jinsi ya kulipa kwa Control Number

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Baada ya hapo subiri kidogo wakati meseji zako zikiwa zinarudishwa kwenye simu yako na baada ya kukamilika hatua hii utaweza kupata meseji zako zote pamoja na Call Log kama ulichagua.

SOMA HII :  Maneno Ya Kusema Unapozungumza Na Mwanamke Mara Ya Kwanza

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Rudisha SMS Kwa Kompyuta iOS na Android

Kama umepoteza meseji na ulikuwa huna programu hiyo, basi unaweza kujaribu njia nyingine ambazo ni lazima kuwa na kompyuta. Kama unayo kompyuta unaweza kutumia programu zifuatazo kurudisha SMS zilizofutika au kupote kwenye simu yako kwa bahati mbaya.

Fonepaw

Hii ni programu ya bure ambayo itakusaidia sana kuweza kurudisha data zilizopote kwenye simu yako ya Android au iOS, uzuri wa programu unaweza kutumia kwa muda bure na unaweza kupakua na kuanza kutumia moja kwa moja kwenye kifaa cha mfumo wa Windows au MacOS.

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Download FonePaw Hapa

Kudownload Programu hii ingia kwenye link hapo juu kisha bofya Products baada ya hapo chagua kati ya FonePaw for Android Includes au FonePaw for iOS Includes kisha bofya Free Download.

Jinsi ya Ku-Backup na Ku-Restore SMS Zilizofutika

Mpaka hapo natumaini utakuwa umeweza kurudisha SMS au meseji zilizo futika kwenye simu yako kwa urahisi na haraka. Kama kwa namna yoyote utakuwa umekwama unaweza kuandika maoni hapo chini nasi tutakusaidia moja kwa moja.

 

Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Madhara ya Kunyonya Maziwa ya Mwanamke

December 21, 2025

Madhara ya mate kwenye uke

December 21, 2025

Madhara ya kunyonya chuchu za mwanamke

December 21, 2025

Madhara ya kunyonya sehemu za siri

December 20, 2025

Video ya mwanafunzi na mwalimu Inayotrend Mtandaoni

December 9, 2025

Connection ya mwalimu na mwanafunzi wa miaka 15 Zimbabwe

December 9, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Zimamoto Recruitment Portal Login:Mfumo wa Maombi ya Ajira Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

December 13, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Jeshi la Zima moto PDF Download December 2025

December 12, 2025

MAJINA Walioitwa Kwenye Usaili MDAs & LGAs 2026

December 12, 2025

Orodha ya Majina walioitwa kwenye Usaili kada ya Afya na Ualimu Ajira portal December 2025

December 4, 2025

Mfumo wa Maombi ya Ajira kwa Kada za Afya na Elimu TAMISEMI

November 26, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.