JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA

Mitandao ya Simu na Benki mbalimbali ziliopo nchini Hutoa hupokea huduma ya Malipo ya serikali kwa Control namba Hapa tunaangazia Jinsi ya kulipa kwa Contro number kwa kutumia tiGO Pesa au mix by yas ,Lipa kwa Control namba kwa kutumia Mpesa na Lipa kwa Control number kwa Airtel money ,CRDB Bank .

Njia za Kulipa kwa Control Number

M-Pesa

  1. Piga *150*00#.
  2. Chagua 6 ‘Huduma za kifedha’.
  3. Chagua 2 ‘Mpesa kwenda Benki’.
  4. Chagua 1 ‘Kwenda CRDB’.
  5. Chagua 2 ‘Weka Control Number’.
  6. Ingiza Control Number yako (Mfano: C0000000102301).
  7. Weka kiasi unachotaka kulipa.
  8. Weka namba yako ya siri.
  9. Chagua 1 ‘Kubali’ ili kuthibitisha malipo.

Tigo Pesa

  1. Piga *150*01#.
  2. Chagua 4 ‘Lipa Bili’.
  3. Chagua 3 ‘Ingiza Namba ya kampuni’.
  4. Ingiza namba ya kampuni (Mfano: 900600).
  5. Weka Control Number yako.
  6. Weka kiasi unachotaka kulipa.
  7. Weka Namba ya Siri.
  8. Chagua 1 ‘Kubali’ ili kuthibitisha malipo.

Airtel Money

  1. Piga *150*60#.
  2. Chagua 1 ‘Tuma Pesa’.
  3. Chagua 4 ‘Tuma Kwenda Benki’.
  4. Chagua 2 ‘CRDB’.
  5. Chagua 2 ‘Lipa kwa Namba ya Malipo’.
  6. Ingiza Control Number yako.
  7. Weka kiasi cha pesa.
  8. Weka neno la siri.
  9. Thibitisha malipo.

CRDB Bank (SimBanking)

  1. Chagua ‘Malipo’.
  2. Chagua ‘Malipo Zaidi’.
  3. Chagua ‘CCM Payment’ au huduma nyingine unayolipia.
  4. Ingiza Control Number.
  5. Pata Taarifa na hakiki.
  6. Weka Kiasi.
  7. Endelea na thibitisha malipo.
JIUNGE NASI WHATSAPP BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM BOFYA HAPA
Share.

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

Leave A Reply