Browsing: Makala

Makala

Kama unamiliki gari au unapanga kununua gari lililotumika, ni muhimu kuhakikisha halina madeni yoyote ya trafiki. Mfumo wa TMS (Traffic Management System) ni jukwaa rasmi linalotumiwa na mamlaka husika kukusanya na kuhifadhi taarifa za magari, ikiwa ni pamoja na faini na madeni ya trafiki. Katika makala hii, tutakuelekeza jinsi ya kuangalia deni la gari kupitia mfumo wa TMS Traffic Check kwa haraka na kwa urahisi. Umuhimu wa Kuangalia Deni la Gari Kuangalia deni la gari ni muhimu kwa sababu: Husaidia kuepuka ununuzi wa gari lenye madeni. Hukuruhusu kulipa faini mapema na kuepuka ongezeko la gharama. Huwezesha umiliki wa gari kuwa…

Read More

Namba ya NIDA (National Identification Number) ni kitambulisho muhimu kwa raia wa Tanzania. Inahitajika kwa shughuli mbalimbali kama kufungua akaunti ya benki, kupata leseni ya udereva, usajili wa laini ya simu, na hata kuomba ajira. Ikiwa unahitaji kupata namba yako ya NIDA haraka, kuna hatua unazoweza kuchukua ili kurahisisha mchakato huu. Umuhimu wa Namba ya NIDA au NIN Namba ya NIDA ni muhimu kwa sababu: Inakutambulisha rasmi kama raia wa Tanzania. Inahitajika kwa huduma za serikali na sekta binafsi. Ni sharti la usajili wa laini za simu na huduma za kifedha. Inahitajika kwa ajira na shughuli zingine za kiuchumi. Njia…

Read More

Usajili wa Jina au kampuni Brela kunamuwesha mfanyabiashara kulinda hatimiliki ya jina au kampuni yake ili isitumiwe au kusajiliwa na mtu mwingine yeyote,Makala hii itakupa muongozo na gharama za usajili wa kampuni au Jina la kampuni Brela. Hatua muhimu za kufuata wakati wa kufanya usajili wa kampuni au jina la biashara Kulipia angalau 60% ya malipo yote, Kutuma taarifa zinazotakiwa (taarifa za kampuni, wenye hisa, wakurugenzi, katibu, hisa nk) – siku ya kwanza Utengenezaji wa nyaraka muhimu za usajili, utiaji saini na kupigwa muhuri wa mwanasheria – siku ya pili Kuanza mchakato wa maombi masafa na kupakia taarifa kwenye mtandao …

Read More

KATIKA kuhakikisha kila mlipa kodi anatambulika, Tanzania ilianzisha utaratibu wa kuwatambua walipakodi wake kwa Namba ya Utambulisho wa mlipa kodi (TIN – Taxpayer Identification Number). Kwa mujibu wa Sheria ya Kodi ya Mapato ya mwaka 2004 kifungu cha 133 inamtaka kila aliye na mapato ajisajili katika ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndani ya siku 15 tangu kuanza kwa biashara yake. TIN ni namba itolewayo kitaalamu kwa teknolojia ya kompyuta na hivyo kuwa namba ya kipekee isiyoingiliana na namba nyingine. Faida ya Kuwa na TIN Namba TIN namba ni muhimu kwa sababu: Inatambulisha biashara yako kwa mamlaka za ushuru.…

Read More

Hii Hapa Ratiba ya Boti za utoka Dar kwenda Unguja ,Dar kwenda pemba kila siku kwa boti za Azam Marine,Zan fast na Kilimanjaro. Huduma na Vifaa vya Boti Azam Marine,Zan fast na Kilimanjaro zinajivunia kuwa na meli zenye vifaa vya kisasa na huduma bora kwa abiria. Baadhi ya huduma zinazopatikana ndani ya boti ni pamoja na: Wi-Fi ya bure Viti vya daraja la uchumi, biashara, na VIP Huduma za vinywaji na vitafunwa Vyoo vya kisasa Vidokezo vya Safari Uhifadhi wa Tiketi: Inashauriwa kufanya uhifadhi wa tiketi mapema kupitia Azam Marine ili kuepuka msongamano na kuhakikisha nafasi yako. Bei za Tiketi: Bei za…

Read More

Mkopo wa kifedha ni nyenzo muhimu hasa pale mtu anapokama uwepo wa kampuni ambazo hutoa mikopo bila kudai dhamana au kwa masharti nafuu ni msaada mkubwa wa watu wa tabaka la chini ,Makala hii imeorodhesha makampuni ambayo hutoa mikopo bila dhamana na aina ya mikopo. Faida za Mikopo ya Haraka Bila Dhamana Hizi hapa miongoni mwa faida chache uwepo wa makampuni yanayotoa mikopo bila dhamana au mikopo nafuu kwa wananchi. Upatikanaji wa Fedha kwa Haraka – Baadhi ya makampuni yanakubali maombi na kutoa fedha ndani ya dakika chache au saa chache. Hakuna Haja ya Dhamana – Watu wasio na mali…

Read More

Jeshi la Polisi Limeanzisha mfumo wa kuangalia deni la leseni yako kama unadaiwa ili ulipe kuepuka faini zinazotokana na uchelewaji wa kulipa deni mfumo huo unaitwa TMS Check TMS Check ninini? TMS Check (Traffic Management System Check) ni mfumo wa kielektroniki unaotumika kufuatilia, kusimamia, na kudhibiti taarifa zinazohusiana na usafiri na usimamizi wa magari. Huu ni mfumo unaotumika katika nchi mbalimbali, hasa katika sekta ya usafiri na usajili wa magari, ili kuhakikisha kwamba rekodi za magari, leseni, na taarifa nyingine muhimu za usafiri zinakuwa sahihi na zipo katika mfumo wa kielektroniki. Kwa mfano, TMS Check hutumika kuangalia hali ya leseni…

Read More

Kwa kutumia Vodacom M-Pesa, unapata urahisi wa kufanya malipo ya tiketi, kukwepa foleni, na kufurahiya mechi za mpira ukiwa na tiketi yako tayari. Katika makala hii, tutakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kununua tiketi za mpira kwa kutumia Vodacom M-Pesa. Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira Vodacom M-Pesa Piga *150*00# Chagua 4 (Lipa kwa M-Pesa) Chagua 9 (Zaidi) Chagua 1 (E-payment) Chagua 1 (Tiketi za Michezo) Chagua 1 (Tiketi za Mpira) Chagua mechi unayotaka kulipia Chagua kiingilio Weka namba ya kadi ya N-Card Ingiza namba ya siri Thibitisha

Read More

Katika dunia ya sasa, teknolojia imeleta mabadiliko makubwa kwenye namna tunavyofanya shughuli mbalimbali za kila siku. Mojawapo ya maeneo yaliyoboreka ni katika ushawishi wa teknolojia kwenye shughuli za burudani, hasa ununuzi wa tiketi za matukio kama mechi za soka. Ikiwa unavutiwa na mechi za soka na unahitaji kununua tiketi za kuingia uwanjani, sasa unaweza kufanya hivyo kwa urahisi kabisa kupitia huduma ya Airtel Money. Airtel Money ni huduma ya kifedha inayotolewa na kampuni ya Airtel, ambayo inawawezesha wateja wake kufanya malipo, kutuma fedha, na kupokea pesa kwa kutumia simu zao za mkononi. Huduma hii inafanya ununuzi wa tiketi za mpira…

Read More

Fahamu Jinsi ya kuandika Barua ya kuomba kazi za Afisa utendaji kata,tarafa ,utendaji vijiji na Halmashauri makala hii imeorodhesha vitu muhimu katika kuandika barua pamoja na mfano wa barua tumekuwekea ili kujifunza jinsi barua inavyotakiwa kuwa kimpangilio na muonekano. Jinsi ya Kuandika Barua ya Maombi ya Kazi Mtendaji wa Kijiji na Mtaa Muundo wa Barua ya Maombi ya Kazi Anuani ya mwandishi. Yaani anuani yako wewe unayeandika barua hiyo. Tarehe. Anuani ya anayeandikiwa. Salamu. Kichwa cha habari. Kiini cha barua. Hii ni roho ya barua yako, ukikosea mahali hapa, kama unajibu swali katika mtihani, utapoteza alama. Na kama unaomba kazi…

Read More