Browsing: Elimu

Elimu

SikuKuu Tarehe SikuKuukuu Jumatatu 1 Januari Siku Kuu ya Mwaka Mpya Ijumaa 12 Januari Siku Kuu ya Mapinduzi ya Zanzibar Ijumaa 29 Machi Ijumaa Kuu Jumatatu 1 Aprili Jumatatu ya Pasaka Jumapili 7 Aprili Siku Kuu ya Karume Jumatano 1 Aprili Eid al-Fitr Alhamisi 11 Aprili Eid al-Fitr Holiday Ijumaa 26 Aprili Siku Kuu ya Muungano Jumatano 1 Mei Siku Kuu ya Wafanyakazi Jumapili 16 Juni Eid al-Adha Jumapili 7 Julai Saba Saba Alhamisi 8 Agosti Nane Nane Jumapili 15 Septemba Maulid Nabi Jumatatu 14 Oktoba Siku Kuu ya Nyerere Jumatatu 9 Desemba Siku Kuu ya Uhuru Jumatano 25 Desemba…

Read More

Linapokuja swala la Maamuzi ni shule gani sahihi kwa mwanao kusoma ili kukamilisha elimu yake kuna vitu muhimu vya kuzigatia kama vile viwango vya ufaulu vya miaka mitatu ya hivi karibuni,Madhari ,maadili na miundombinu kama ni rafiki kwa Mtoto makala hii tumekuandikia orodha ya shule bora za serikali kwa masomo ya Advance. Orodha ya Shule Nzuri za Advanced za Serikali Tanzania uchaguzi wa shule nzuri ya sekondari ya juu (Kidato cha Sita/A-Level) ya Serikali nchini Tanzania ni muhimu sana kwa maisha ya baadaye ya mwanafunzi. Shule nzuri ya Serikali inaweza kumpa mwanafunzi elimu bora kwa gharama nafuu, pamoja na walimu…

Read More

Kujiunga na Jeshi la Polisi la Tanzania ni ndoto kwa vijana wengi wanaotaka kuwatumikia wananchi na taifa kwa ujumla. Katika zama hizi za kiteknolojia, Jeshi la Polisi limetunga mfumo rahisi na wa kisasa wa kupokea maombi ya ajira kupitia mtandao, jambo ambalo linapunguza usumbufu wa kwenda ofisini na kufanya mchakato kuwa wa haraka zaidi. Hapa chini tutakuletea hatua kwa hatua jinsi ya kutuma maombi ya ajira za Jeshi la Polisi Tanzania mtandaoni. Kwa watu wengi wanaotafuta ajira zinazochanganya huduma kwa jamii, utekelezaji wa sheria, na haki, Jeshi la Polisi Tanzania (TPF) hutoa fursa za kazi zenye manufaa makubwa. Kupitia Mfumo…

Read More

Kama unatarajia au Unapenda kutuma Maombi ya kujiunga na jeshi la polisi Tanzania unapaswa kuandika barua ya kutuma Maombi ambayo imekamilika sifa na vigezo vyote ,Makala hii tumeuwekea Muundo na mfano wa Barua ya kuomba kujiunga jeshi la polisi. Mfano Wa Barua Ya Maombi Ya Polisi Kichwa cha Barua: Barua ya Maombi ya Kazi – Jeshi la Polisi Anwani ya Muombaji: Jina Kamili Anwani ya Nyumbani Mji, Nchi Namba ya Simu Tarehe: [Tarehe ya Kuandika Barua] Kwa Mkuu wa Polisi, [Anwani ya Mkuu wa Polisi] [Jeshi la Polisi] [P.O. Box 961] Dodoma, Tanzania YAH: MAOMBI YA NAFASI YA KAZI KATIKA…

Read More

Jeshi la Polisi Tanzania kila mwaka Hutangaza Nafasi za kujiunga kulitumikia Jeshi hilo kwa Vijana wa Kitanzania wenye Sifa na Vigezo,Makala hii imekuorodheshea sifa zote unazopaswa kuwa nazo ili kuchaguliwa kujiunga kulitumikia jeshi la polisi. Vigezo na sifa za kujiunga na jeshi la polisi Ili kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania mwombaji anatakiwa kutimiza sifa zifuatazo: Mwombaji awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa, mwenye umri kati ya miaka 18 hadi 25 kwa waombaji wa kidato cha nne, sita, na astashahada. Au kati ya miaka 18 na 30 kwa waombaji wa shahada na stashahada. Waombaji wa kidato cha nne wawe wamehitimu…

Read More

Uhamisho wa mtumishi wa umma ni mchakato muhimu unaohusisha mabadiliko ya mtumishi kutoka sehemu moja ya kazi kwenda sehemu nyingine ndani ya taasisi au idara ya serikali. Hii ni hatua inayoweza kuchukuliwa kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuboresha utendaji, kuongeza ufanisi, au kujibu changamoto za kiutawala. Kupata kibali cha uhamisho ni mchakato unaohitaji kufuata taratibu na kanuni zilizowekwa na serikali. Katika makala hii, tutajadili utaratibu na hatua za kufuata ili kupata kibali cha uhamisho kwa mtumishi wa umma. Aina za Uhamisho kwa Watumishi Wa Umma Kuna aina mbili za Uhamisho kwa Watumishi wa Umma nazo ni; Uhamisho wa…

Read More

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni moja ya taasisi muhimu za kiusalama katika nchi yetu, likihusika na kulinda amani na utawala wa sheria. Kujiunga na JWTZ ni ndoto kwa vijana wengi wanaotamani kutumikia taifa lao kwa ufanisi na kujitolea. Hapa, tutazungumzia baadhi ya sifa muhimu zinazohitajika kwa mtu anayetaka kujiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania. Majukumu ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilianzishwa tarehe 01 Septemba 1964 likiwa na lengo la kulinda uhuru wa nchi na mipaka ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Majukumu Mengine ya JWTZ Kulinda Katiba na Uhuru wa Jamhuri…

Read More

Je Unataka Kutuma Maombi ya Nafasi za Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Unakwama katika uandishi wa Barua ya kutuma Maombi yako?Usikonde tumekuandalia hii makala kuyafanya maisha uwa rahisi tumeelezea muundo wa namna Barua inavyotakiwa kuwa pia Tumekuwekea Barua ya mfano. Vitu Muhimu vya Kuzingatia  katika kuandika Barua ya Kuomba kujiunga JWTZ Anwani ya Mwombaji Tarehe Anwani ya Kupokea YAH: Maombi ya Nafasi ya Kujiunga na JWTZ Utangulizi Maelezo Binafsi na Sifa Hitimisho Jina na Sahihi ya Mwombaji Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Anwani ya Mwombaji Tarehe Anwani ya Kupokea YAH: Maombi ya…

Read More

Kuandika barua ya kazi ni hatua muhimu kwa mwalimu anayetaka kuajiriwa chini ya TAMISEMI (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa). Barua yako inapaswa kuwa rasmi, yenye mpangilio mzuri na kuonyesha sifa zako kitaaluma. Hapa chini ni mwongozo wa jinsi ya kuandika barua ya kazi pamoja na mfano wa barua halisi. Jinsi ya Kuandika Barua ya Kazi ya Ualimu Anuani – Anza na anuani yako upande wa juu kushoto kisha ifuate na anuani ya mwajiri (Mkurugenzi wa Halmashauri au Katibu wa TAMISEMI). Tarehe – Andika tarehe ya kuandika barua. Kichwa cha Barua – Kichwa cha habari kinapaswa kuwa kifupi na…

Read More

Matokeo ya Kidato cha Sita ni hatua muhimu kwa wanafunzi wanaomaliza elimu ya sekondari ya juu nchini Tanzania. Baada ya kufanya mitihani yao ya mwisho, wengi hutaka kujua matokeo yao kwa haraka ili kupanga hatua zao za baadaye. Ikiwa unatafuta njia rahisi ya kuangalia matokeo yako, fuata mwongozo huu. Jinsi Ya Kuangalia Matokeo Ya Kidato Cha Sita Matokeo ya kidato cha sita yanaweza kupatikana kwa njia nyingi Hapa tunajadili kwa njia ya mtanao,kwa njia ya simu ussd ,mitandao ya kijamii na kupitia shule husika. 1. Kutembelea Tovuti Rasmi ya NECTA Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) ndilo linalohusika na usimamizi…

Read More