Mafuta ya parachichi hutengenezwa kwa kutoa mafuta hayo kutoka kwa parachichi zilizoiva, na yana matumizi kadhaa, kuanzia kupikia na kukaanga ili kutumika katika matibabu ya nywele na ngozi. Kwa sababu mafuta ya parachichi ya dukani mara nyingi ni ghali sana, mara nyingi ni kiuchumi zaidi kuandaa mafuta nyumbani. Kuchimba mafuta ni rahisi sana, na kulingana na njia ya uchimbaji, unaweza kuachwa na parachichi iliyopondwa, kamili kwa matumizi ya kuoka au kutengeneza guacamole safi! Vifaa Unavyohitaji Parachichi (angalau 2-3) Blender au mashine ya kukoboa Mkebe au chombo cha kuhifadhia mafuta Hatua Za Kutengeneza Kata parachichi katikati na ondoa mbegu. Kata kila…
Browsing: Biashara
Biashara
Mafuta halisi ya nazi unaweza ukayatengeneza ukiwa nyumbani kwako ili kupunguza gharama za kununua mafuta ya Brand za watu ,Makala hii itakupa muongozo jinsi ya kutayarisha mafuta ya Nazi. Vitu Muhimu vya Kutayarisha 1, Nazi yako iwe safi na nzima sio mbovu Andaa sufuria yako kwa ajili ya kupikia mafuta jikoni, hakikisha una ‘blenda’ au kibao cha mbuzi kwa ajili ya kukunia nazi ili uweze kupata tuwi la nazi. 2, Uwe na Chujio kwa ajili ya kuchuja machicha ya nazi na kuweza kupata tuwi haliyakuwa safi kabisa. Andaa jiko lenye moto ambalo litatumika kwa ajili ya kuchemsha mafuta ili yaweze…
Kwa Watumiaji wa BetPawa wanaweza kuweka pesa kwenye Akaunti zao za BetPawa kupitia mtandao ya simu,pia wanaweza kutoa kupitia mitandao ya simu au benki tumekuekea muongozo kamili wa Jinsi ya kuweka na kutoa pesa katika BetPawa Akaunti. Jinsi ya Kuweka Pesa kwenye BetPawa Kuweka pesa kwenye akaunti yako ya BetPawa ni rahisi na ya haraka. Fuata hatua hizi: 1. Ingia kwenye akaunti yako ya BetPawa Tembelea tovuti ya BetPawa au fungua programu yao ya simu na uingie kwenye akaunti yako. 2. Chagua ‘Weka Pesa Bofya kitufe cha ‘Weka Pesa’ au ‘Deposit’ kwenye ukurasa wako wa nyumbani. 3. Chagua njia ya…
Kama unatamani Jina lako la biashara ndio liwe jina la kampuni yako yakupasa ufuate utaratibu huu hapa chini kuweza kubadilisha na kukamilisha usajili. ➡️ Hatua ya kwanza,utatakiwa kufunga jina la biashara. Jinsi ya Kufunga ni kama ifuatavyo i) Ingia kwenye tovuti ya Brela,ingia sehemu ya majina ya biashara,nenda form za majina ya biashara, pakua form No.7 kisha uijaze ii) Rudi kwenye akaunti yako ya ORS, kisha nenda sehemu ya kufunga jina la Biashara, utaulizwa sababu za kufunga jina la biashara jaza na upakue form ya majumuisho (Consolidated Form) ijaze kishaiweke kwenye mfumo pamona na ile form No.7 iii) Fanya malipo…
Inawezekana kutokana na sababu zilizopo Nje ya Uwezo wako Umeamua kufunga Biashara yako basi unatakiwa ufanye hima kuwajulisha TRA Kwamba biashara husika imefungwa ili wasiendelee kukuanyia makadilio ya kodi. Uamuzi wa kufunga biashara yako kisheria na kikanuni siyo uamuzi binafsi kwamba unaweza kulala na kuamka asubuhi ukaamua kufunga biashara yako. Ziko taratibu kadhaa za kuzingatiwa pindi unapohitaji kufunga biashara yako ili ukifuata hizo taratibu zote, basi hautadaiwa kodi za vipindi vingine vilivyobaki katika mwaka na hautasumbuliwa na mamlaka zingine nchini. Kupitia makala hii tumedadavua kwa kina hatua za kufuata kuwajulisha TRA na tumekuwekea mfano wa Barua ya kufunga Biashara TRA.…
Simu Bei (TZS) Kumbukumbu RAM (GB) Maelezo Samsung Galaxy S24 Ultra 3,500,000 256 GB 12 Inatumia Snapdragon 8 Gen 3, ina kamera bora na uwezo wa AI. Samsung Galaxy S24+ 2,500,000 256 GB 12 Ina betri ya 4900mAh na chaji ya haraka ya wati 45. Samsung Galaxy S24 2,000,000 128 GB 8 Simu yenye utendaji mzuri na muonekano wa kuvutia. Samsung Galaxy Z Fold5 4,200,000 512 GB 12 Simu inayoweza kukunjwa, inatoa uzoefu wa kipekee wa matumizi. Samsung Galaxy Z Flip5 3,800,000 256 GB 8 Simu ya kukunjika yenye muonekano wa kisasa. Samsung Galaxy A54 1,200,000 128 GB 6…
Kampuni ya simu ya Tecno walitangaza toleo jipya la simu yao ya Tecno spark 10 mnamo mwezi April 2023 ndipo rasmi iliingia sokoni ,tumekuwekea Bei ya spark 10 katika masoko ya Tanzania pamoja na Sia zake Bei za Simu Tecno Spark 10 Tecno Spark 10 RAM: 8GB ROM: 128GB Bei: TZS 350,000. Tecno Spark 10 Pro RAM: 8GB ROM: 128GB Bei: TZS 350,000. ROM: 256GB Bei: TZS 400,000. Tecno Spark 10C Bei ya Tecno Spark 10C haijatajwa kwa uwazi katika vyanzo vilivyopo, lakini inatarajiwa kuwa katika kiwango cha chini ikilinganishwa na Spark 10 na Spark 10 Pro. Sifa Za Simu…
Katika Jiji la Dar es salaam Nyama ya ng’ombe ni kitoweo maarufu kwa wenyeji wa Jiji hili na viunga vyake kuliko nyama nyingine yoyote hali iliyopelekea ongezeko la wauzaji kila mtaa kuna mabucha,Kutokana na kasi ya ongezeko la uhitaji hivyo husababisha Bei yake kupanda ingawaje Bodi ya nyama Tanzania inajitahidi kuliweka sawa hili kuhakikisha inakuwa bei rafiki kwa walaji,Hii hapa orodha y Bei ya nyama ya Ng’ombe maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam Mabadiliko ya Bei Kuongezeka kwa Bei: Bei ya wastani ya nyama ya ng’ombe imepanda kutoka takriban TZS 8,000 kwa kilogram hadi karibu TZS 11,000 katika…
Je, una mtaji wa kuanzia laki moja hadi milioni moja na unatafuta biashara nzuri ya kuanzisha? Katika dunia ya leo, mtaji mdogo si kikwazo cha kufanikisha ndoto yako ya kuwa mfanyabiashara. Kuna fursa nyingi ambazo zinaweza kukufanikisha na kukuza kipato chako. Makala hii itakuelekeza kwenye biashara kadhaa ambazo unaweza kuanzisha kwa mtaji huo na kuzifanya zikue kwa muda. 1. BIASHARA YA GENGE Biashara ya genge ni biashara yenye uhitaji mkubwa sana kwa sababu watu kila siku wanakula.pia biashara unayoweza kuanza kwa mtaji kidogo. Ni biashara ambayo huhitaji kuwa na eneo la gharama kubwa kuifanyia.Na ni biashara ambayo haina vitu vingi,…
Kama unamtaji wa Tsh Milioni 20 na unajiuiza ni biashara gani unaweza kufanya kwa mtaji huo Huu hapa mchanganuo kamili na aina ya biashara unazoweza kufanya. Aina za Biashara Duka la Vyakula (Grocery Store): Uuzaji wa bidhaa za kila siku ni biashara maarufu ambayo inahitaji mtaji wa wastani na ina uwezo wa kutoa faida nzuri. Duka la Madawa (Pharmacy): Uuzaji wa dawa na bidhaa za afya ni muhimu, lakini inahitaji usimamizi wa kitaalamu. Duka la Vinywaji: Uuzaji wa soda, maji, na juisi ni biashara inayoweza kuanzishwa kwa mtaji mdogo, lakini inahitaji uhakika wa usambazaji. Uendeshaji wa Shamba la Maziwa: Ufugaji…