Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Madhara ya Mkanda wa Jeshi (Shingles) – Chanzo, Dalili, Athari na Tiba
Mkanda wa jeshi (kwa kitaalamu hujulikana kama Herpes Zoster) ni ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na virusi vya Varicella Zoster, virusi vilevile vinavyosababisha tetekuwanga. Ugonjwa huu hujionesha kwa vipele vinavyouma sana [Read Post]
