Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Dalili za kansa ya kidole
Kansa ya kidole ni aina ya saratani adimu inayoweza kuathiri moja au zaidi ya vidole vya mikono au miguu. Ingawa mara nyingi kansa hujulikana zaidi ikitokea kwenye maeneo kama matiti, [Read Post]
