Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Picha ya ugonjwa wa mkanda wa jeshi
Mkanda wa jeshi, au kwa jina la kitaalamu “Herpes Zoster,” ni ugonjwa wa ngozi unaosababishwa na virusi vya varicella zoster – virusi vilevile vinavyosababisha tetekuwanga. Baada ya kupona tetekuwanga, virusi [Read Post]
