Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Vyakula vinavyotibu baridi yabisi
Baridi yabisi ni ugonjwa sugu wa kinga ya mwili unaoathiri viungo, hasa mikono, magoti na vifundo vya miguu, na kusababisha maumivu, uvimbe na ukakamaa wa viungo. Ingawa baridi yabisi haiwezi [Read Post]
