Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Chembe ya moyo na vidonda vya tumbo
Chembe ya moyo (Heart attack) na vidonda vya tumbo (Peptic ulcers) ni magonjwa mawili tofauti, lakini mara nyingine yanaweza kuathiri afya ya mtu kwa pamoja au kuwa na dalili zinazofanana. [Read Post]
