Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Madhara ya pumu ya ngozi
Pumu ya ngozi ni ugonjwa sugu unaoathiri ngozi kwa muwasho, wekundu, na ngozi kukauka. Watu wengi huchukulia dalili kama ndogo, lakini kushindwa kudhibiti pumu ya ngozi kunaleta madhara makubwa kiafya [Read Post]
