Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Dalili za mchafuko wa damu mwilini
Mchafuko wa damu (Sepsis) ni hali hatari inayotokea pale ambapo mwili unatoa mwitikio mkali dhidi ya maambukizi, hali inayoweza kuathiri viungo muhimu na kuhatarisha maisha. Hii ni dharura ya kiafya [Read Post]
