Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Je Mama anaye nyonyesha anaweza kupata Ujauzito/Mimba?
Wakati wa kunyonyesha, wanawake mara nyingi hujiuliza kama wanaweza kupata ujauzito, kwani baadhi yao huamini kwamba kunyonyesha pekee kunaweza kuwa njia ya kuzuia mimba. Hata hivyo, suala hili ni tata [Read Post]
