swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
News Ticker
  • [ March 14, 2026 ] Jinsi ya kudownload nyimbo za kihindi audio download Makala
  • [ March 14, 2026 ] Jinsi ya kudownload nyimbo za kisukuma Makala
  • [ March 9, 2026 ] Nchi 10 Zenye Jeshi Lenye Nguvu Zaidi Duniani Mwaka 2026 Makala
  • [ March 3, 2026 ] Maana ya Jina Careen, Asili Yake na Namba ya Bahati Majina ya Watoto
  • [ February 6, 2026 ] How to Apply Bursaries in south Africa Online Makala
HomeAfya

Afya

Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali

Je Mjamzito anaweza kupata Hedhi?
Afya

Je Mjamzito anaweza kupata Hedhi?

March 14, 2025 Burhoney Comments Off on Je Mjamzito anaweza kupata Hedhi?

Kwa ujumla, mjamzito hawezi kupata hedhi. Hedhi hutokea kwa sababu ya kushuka kwa homoni ya progesterone na estradiol baada ya kutungika kwa mimba, ambapo mzunguko wa homoni huanzisha kuanza kwa [Read Post]

Je kutokwa Damu kipindi cha Ujauzito ni hatari?
Afya

Je kutokwa Damu kipindi cha Ujauzito ni hatari?

March 14, 2025 Burhoney Comments Off on Je kutokwa Damu kipindi cha Ujauzito ni hatari?

Kutokwa damu kipindi cha ujauzito ni hali ambayo wanawake wengi wanakutana nayo, lakini ni suala ambalo linapaswa kushughulikiwa kwa umakini mkubwa. Ingawa si kila kutokwa damu ni dalili ya tatizo [Read Post]

Je Kufanya Mapenzi Na Mjamzito Mwisho Miezi Mingapi?
Afya

Je Kufanya Mapenzi Na Mjamzito Mwisho Miezi Mingapi?

March 14, 2025 Burhoney Comments Off on Je Kufanya Mapenzi Na Mjamzito Mwisho Miezi Mingapi?

Wanandoa Wengi ambao ni wazazi watarajiwa wamekuwa wakijiuliza swali hili maranying Je Tendo la Ndoa Kwa Mjamzito Mwisho Lini Kufanya? JIBU: Mjamzito anaweza kushiriki Tendo la Ndoa kipindi chote cha [Read Post]

Faida Za Kitunguu Saumu Kwa Mwanamke
Afya

Faida Za Kitunguu Saumu Kwa Mwanamke

March 14, 2025 Burhoney Comments Off on Faida Za Kitunguu Saumu Kwa Mwanamke

Kitunguu saumu au kitunguu swaumu (garlic) kina mchango wa kiafya unaoweza kuwa na manufaa kwa wanawake katika hali kadhaa. Hata hivyo, inapaswa kutumiwa kwa tahadhari na kwa ushauri wa daktari, [Read Post]

Ufahamu Ugonjwa wa Homa ya Nyani (Monkey pox) – Dalili, Matibabu na Kinga
Afya

Ufahamu Ugonjwa wa Homa ya Nyani (Monkey pox) – Dalili, Matibabu na Kinga

March 13, 2025 Burhoney Comments Off on Ufahamu Ugonjwa wa Homa ya Nyani (Monkey pox) – Dalili, Matibabu na Kinga

Ufahamu Ugonjwa wa Homa ya Nyani (Monkey pox) – Dalili, Matibabu na Kinga kupitia makala hii utaweza kuuahamu kwa kina huu ugonjwa . Homa ya nyani ni nini? Homa ya [Read Post]

Fahamu Utaratibu wa Kupima DNA Tanzania Bei za Gharama na Hospitali zinazopima
Afya

Fahamu Utaratibu wa Kupima DNA Tanzania Bei za Gharama na Hospitali zinazopima

March 12, 2025 Burhoney Comments Off on Fahamu Utaratibu wa Kupima DNA Tanzania Bei za Gharama na Hospitali zinazopima

Fahamu Utaratibu wa Kupima DNA Tanzania Bei za Gharama na Hospitali zinazopima, Watu wengi walikuwa wakitamani kufanya vipimo vya Vinasaba kujiridhisha juu ya ukweli wa watoto zao lakini hawajui waanzie [Read Post]

Ufahamu Ugonjwa wa Bawasiri kwa Wanaume Dalili na Tiba zake
Afya

Ufahamu Ugonjwa wa Bawasiri kwa Wanaume Dalili na Tiba zake

March 12, 2025 Burhoney Comments Off on Ufahamu Ugonjwa wa Bawasiri kwa Wanaume Dalili na Tiba zake

Ufahamu Ugonjwa wa Bawasiri kwa Wanaume Dalili na Tiba zake za kihospitali na Tiba za asili zinazoweza kumaliza tatizo hili linalowatesa wanaume wengi. Bawasiri ninini? Bawasiri ni kuvimba kwa mishipa [Read Post]

Dawa ya fungus Sugu sehemu za siri kwa wanawake na Wanaume
Afya

Dawa ya fungus Sugu sehemu za siri kwa wanawake na Wanaume

March 12, 2025 Burhoney Comments Off on Dawa ya fungus Sugu sehemu za siri kwa wanawake na Wanaume

Fangasi za Sehemu zasiri kama vile ukeni au kwenye Mapumbu kwa wanaume ni Ugonjwa unaowatesa Vijana  wengi ,Tatizo au ugonjwa.Makala hii inakupa Muongozo sahihi wa kutibu fangasi kwa wanaume na [Read Post]

Ufahamu Ugonjwa Wa Genital Warts (Kuota Vinyama Sehemu Za Siri) Na Tiba Yake.
Afya

Ufahamu Ugonjwa Wa Genital Warts (Kuota Vinyama Sehemu Za Siri) Na Tiba Yake.

March 10, 2025 Burhoney Comments Off on Ufahamu Ugonjwa Wa Genital Warts (Kuota Vinyama Sehemu Za Siri) Na Tiba Yake.

Genital Warts ni mojawapo ya magonjwa ya zinaa yanayosababishwa na virusi vya Human Papillomavirus (HPV). Ugonjwa huu husababisha uvimbe mdogo au vinyama laini vinavyoota kwenye sehemu za siri za mwanamke [Read Post]

Dawa ya Kuwashwa Sehemu Za Siri Kwa Mwanamke
Afya

Dawa ya Kuwashwa Sehemu Za Siri Kwa Mwanamke

March 10, 2025 Burhoney Comments Off on Dawa ya Kuwashwa Sehemu Za Siri Kwa Mwanamke

Kuwashwa sehemu za siri ni tatizo linaloweza kumkumba kila mwanamke kwa wakati fulani. Ingawa mara nyingi hali hii inaweza kuwa isiyo na madhara makubwa, inaweza kuwa chanzo cha usumbufu na [Read Post]

Posts pagination

« 1 … 171 172 173 »

Latest Posts

  • Jinsi ya kudownload nyimbo za kihindi audio download
    Jinsi ya kudownload nyimbo za kihindi audio download
    March 14, 2026 Comments Off on Jinsi ya kudownload nyimbo za kihindi audio download
  • Jinsi ya kudownload nyimbo za kisukuma
    Jinsi ya kudownload nyimbo za kisukuma
    March 14, 2026 Comments Off on Jinsi ya kudownload nyimbo za kisukuma
  • Nchi 10 Zenye Jeshi Lenye Nguvu Zaidi Duniani Mwaka 2026
    Nchi 10 Zenye Jeshi Lenye Nguvu Zaidi Duniani Mwaka 2026
    March 9, 2026 Comments Off on Nchi 10 Zenye Jeshi Lenye Nguvu Zaidi Duniani Mwaka 2026
  • Maana ya Jina Careen, Asili Yake na Namba ya Bahati
    Maana ya Jina Careen, Asili Yake na Namba ya Bahati
    March 3, 2026 Comments Off on Maana ya Jina Careen, Asili Yake na Namba ya Bahati
  • How to Apply Bursaries in south Africa Online
    How to Apply Bursaries in south Africa Online
    February 6, 2026 Comments Off on How to Apply Bursaries in south Africa Online

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

  • Home
  • About Us
  • CONTACT US
  • Privacy Policy
  • Terms Of Use

Copyright © 2026 | MH Magazine WordPress Theme by MH Themes