Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Dalili za Kujifungua Kabla ya Wakati: Fahamu Ishara Mapema kwa Usalama wa Mama na Mtoto
Kujifungua kabla ya wakati ni pale ambapo mama mjamzito anaanza uchungu kati ya wiki ya 20 hadi 36 ya ujauzito, badala ya wiki ya 37 au zaidi ambayo ni kipindi [Read Post]
