Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Kitunguu saumu na maji ya moto
Kitunguu saumu ni moja ya dawa maarufu za asili duniani, kimekuwa kikitumika kwa karne nyingi kutibu magonjwa mbalimbali kutokana na uwezo wake wa kupambana na bakteria, fangasi na sumu mwilini. [Read Post]
