Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Mtoto kucheza upande wa kushoto ni jinsia gani
Wakati wa ujauzito, mama mjamzito hupitia mabadiliko mengi ya kimwili na kihisia. Miongoni mwa mambo yanayovutia hisia nyingi ni mtoto kucheza tumboni, na baadhi ya imani au mitazamo ya jamii [Read Post]
