Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Madhara ya Ugonjwa PID kwa Mjamzito na Mtoto Aliyopo Tumboni
Pelvic Inflammatory Disease (PID) ni maambukizi ya mfumo wa uzazi wa ndani kwa wanawake, ambayo huanzia ukeni na kusambaa hadi kwenye mfuko wa uzazi (uterasi), mirija ya mayai (fallopian tubes), [Read Post]
