Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Madhara ya clotrimazole kwa mjamzito
Clotrimazole ni mojawapo ya dawa maarufu sana zinazotumika kutibu maambukizi ya fangasi sehemu za siri kwa wanawake. Inapatikana katika mfumo wa cream ya kupaka na vidonge vya kuingiza ukeni (suppositories). [Read Post]
