Fahamu Magonjwa Mbalimbali yanayoweza kumkabili Binadamu Magonjwa ya Wanaume,ya Wanawake na Watoto Tumekuwekea Dalili Mbalimbali za mgonjwa,Tiba Au Dawa za Magonjwa Mbalimbali na Jinsi ya kujikinga dhidi ya Magonjwa Mbalimbali
Jinsi ya kutumia mbegu za Maboga
Mbegu za maboga (pumpkin seeds) ni moja ya vyakula vya asili vyenye virutubisho vingi sana vinavyosaidia kulinda afya ya mwili. Zina protini, madini kama magnesium, chuma, zinki, pamoja na omega-3 [Read Post]
