UTT Asset Management and Investor Services Plc (UTT AMIS) inasimamia mifuko mbalimbali ya uwekezaji inayowapa wawekezaji fursa ya kukuza mitaji yao. Kila mfuko una bei ya kipande inayobadilika kulingana na thamani ya mali halisi (Net Asset Value – NAV) ya mfuko husika.
Mifuko ya Uwekezaji Inayotolewa na UTT AMIS
Kuna aina kuu sita za mifuko ya uwekezaji inayotolewa na kampuni ya uwekezaji ya UTT AMIS. Mifuko hiyo ni pamoja na;
- Umoja Fund
- Wekeza Maisha Fund
- Watoto Fund
- Jikimu Fund
- Liquid Fund
- Bond Fund
Mfuko wa Umoja Fund
Hapa chini tutaneda kuangalia taarifa kamili za mfuko wa Umoja Fund mfuko uliokua wa kwaza kuweza kuanzishwa na mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 368, 619, 339, 392.6250 |
2 | Outstanding Number of Units | 337, 384, 369.9378 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 1,092.5798 |
4 | Sale Price Per Unit | 1,092.5798 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 1,081.6540 |
Mfuko wa Wekeza Maisha Fund
Mfuko wa wekeza maisha ulikua ni mfuko wa pili kwenye miongo ya uanzishwaji wa mifuko iliyoko kwenye kampuni ya UTT AMIS, Hapa tutaenda kuangalia jeduwari lenye kuonyesha thama ya mfuko huu ndani ya UTT AMIS.
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 18, 984, 033, 691.2349 |
2 | Outstanding Number of Units | 19, 601, 282.2080 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 968.5098 |
4 | Sale Price Per Unit | 968.5098 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 949.1396 |
Soma hii :Vigezo na Sifa za Kupata Mkopo CRDB Bank
Mfuko wa Watoto Fund
Mfuko huu wa watoto Fund ni mfuko uliokua umeanzishwa katika awamu ya 3 ya mfurulizo wa uwanzishwaji wa mifuko ya uwekezaji katika mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS. Mfuko huu ulianzishwa kwa uwekezaji wa Watoto hadi umri wa miaka 18.
Hapa chini tutaenda kutazama thamani ya mfuko huu ndani ya mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 23, 894, 844, 571.9033 |
2 | Outstanding Number of Units | 33, 492, 579.7529 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 713.4370 |
4 | Sale Price Per Unit | 713.4370 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 706.3026 |
Mfuko wa Jikimu Fund
Baada ya kuanzishwa kwa mfuko wa Watoto Fund, mfuko uliofuata kuzinduliwa chini ya mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS ulikua ni mfuko wa Jikimu Fund ulikua ni mfukowa 4 kuanzishwa kwenye orodha ya mifuko inayopatikana kwenye UTT AMIS.
Hapa chini tunaenda kukupa mwongozo wa thamani ya vipande kwenye mfuko wa Jikimu Fund.
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 32, 143, 792, 291.4539 |
2 | Outstanding Number of Units | 175, 467, 397.9908 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 183.1895 |
4 | Sale Price Per Unit | 183.1895 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 179.5258 |
Mfuko wa Liquid Fund
Mfuko wa Liquid Fund ulikua ni mfuko wa 5 kwenye mfururizo wa uanzishwaji wa mifuko ya uwekezaji iliyoko kwenye mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS.Hapa chini tuanaenda kuangazia bei ya thamani ya vipande vya mfuko wa Liquid Fund.
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 32, 143, 792, 291.4539 |
2 | Outstanding Number of Units | 175, 467, 397.9908 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 183.1895 |
4 | Sale Price Per Unit | 183.1895 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 179.5258 |
Mfuko wa Bond Fund
Huu ndio ulikua mfuko wa mwisho hadi sasa kuweza kuzinduliwa katika mfuko wa uwekezaji wa UTT AMIS, Katika orodha ya uwanzishwaji wa mifuko ya uwekezaji huu ulikua mfuko wa 5 kuanzishwa. Hapa tutaenda kuangalia thamani ya vipande katika mfuko wa Bond Fund.
Maelezo ya Msingi Ya Kipande | Thama kwa Tsh | |
1 | Net Asset Value | 761, 673, 000, 500.6591 |
2 | Outstanding Number of Units | 6, 381, 027, 074.5991 |
3 | Net Asset Value Per Unit | 119.3653 |
4 | Sale Price Per Unit | 119.3653 |
5 | Repurchase Price Per Unit | 119.3653 |
Thamani kwa kila mfuko hapo juu inaweza kubadilika kila wakati, ili kweza kupata taarifa za mabadiliko hayo ni vyema ukatembelea tovuti rasmi ya UTT AMIS
Utendaji wa Hivi Karibuni
UTT AMIS imeshuhudia ukuaji mkubwa katika mali inayosimamiwa (Assets Under Management – AUM). Kufikia Juni 2023, AUM ilifikia shilingi trilioni 1.535, ikiwa ni ongezeko la asilimia 429 tangu mwaka 2019. Hii inaashiria imani kubwa ya wawekezaji katika utendaji wa UTT AMIS.
Changamoto
Licha ya ukuaji huu, bado kuna changamoto ya kuendeleza utamaduni wa kuweka akiba na kuwekeza katika masoko ya fedha miongoni mwa Watanzania.
UTT AMIS inaendelea kufanya kampeni za elimu ya fedha ili kukabiliana na changamoto hii.
Bei ya vipande vya UTT AMIS kwa mwaka 2024 itaendelea kubadilika kulingana na utendaji wa soko. Wawekezaji wanahimizwa kufuatilia taarifa rasmi kutoka UTT AMIS na kushauriana na wataalamu wa fedha kabla ya kufanya maamuzi ya uwekezaji.