Kama una maswali yoyote kuhusu Huduma za Azam pesa tafadhali usisite kuwasiliana nao. Timu yetu ya huduma kwa wateja ipo tayari kukusaidia masaa 24.
Azam pesa huduma kwa wateja
Ikiwa unakutana na changamoto yoyote unapotumia AzamPesa, unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kwa njia zifuatazo:
- Simu: Piga namba ya huduma kwa wateja ya AzamPesa kwa msaada wa haraka.
- WhatsApp: Unaweza pia kuwasiliana na AzamPesa kupitia WhatsApp kwa namba yao rasmi.
- Barua pepe: Tuma maombi au malalamiko kupitia barua pepe yao rasmi.
- Mitandao ya kijamii: Fuata kurasa zao rasmi kwenye Facebook, Twitter, na Instagram kwa taarifa na masasisho mapya.
Soma Hii :Jinsi ya Kujisajili na AzamPesa
Tafadhali jaza taarifa zifuatazo:
WhatsApp : +255677822222
Haile Selassie Rd. Plot 208
P.O. Box 2517, DSM, Tanzania.