DAWA YA KUMFANYA MPENZI AKUPENDE NA AKUTII

DAWA YA KUMFANYA MPENZI AKUPENDE NA AKUTII
DAWA YA KUMFANYA MPENZI AKUPENDE NA AKUTII

Wengi wamewahi kujiuliza: Je, kuna talasimu au mbinu ya siri ya kumfanya mpenzi wangu anipende zaidi na kunitii kwa moyo mmoja? Ingawa talasimu halisi ni neno linaloegemea zaidi upande wa kiimani au kichawi

a)hakika hapa ni penyewe, kama kuna mtu unataka akupende sana au akutimizie haja yako au mke au mume akupende kupita kiasi
b)Ama unataka kupendwa na kila mtu iwe kazini,nyumbani,ama sehemu yoyote mapenzi ya kupitiliza
basi chora tarasimu hii kwa kutumia zafarani nyekundu na marashi ya bint sudani,(vinapatikana duka lolote la dawa za kiarabu)kisha isomee jina hilo mara 3000, na usom”Barahatii” mara tatu kisha ifunge kama azima na ukaitundike katika mti mkubwa kwa manuiz unayokusudia.
vizuri zaidi ni kuchora mbili moja juu ya mti na ya pili kaizike kwenye maji, hakika utaona ajabu kabisa.
Na pia ukitaka kupendwa na watu fanya kama nilivyoelekeza kwenye jina la mhusika unaweka *wote kwa pamoja* na kisha uwenayo kama azima kila unapotembea.
Kumbuka wakati wa kufunga au kuzika ama kuiweka mfukoni ufanye manuizi unayotaka au kwenye wallet unuie manuzi unayoyahitaji.
SOMA HII :  Mfanye Mwanamke Ajisalimishe Kwako Na Mbinu Ya 'Sheria ya Utwekaji'
About Burhoney 4809 Articles
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati