JIUNGE NASI WHATSAPP
BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM
BOFYA HAPA
Namna ya kukusanya kazi kila siku katika ESS PEPMIS
Mfumo wa ESS PEPMIS Umegawanyika kimatumizi mara mbili kwa Watumishi wa kawaida na kwa watumishi wa vituo Tumechambua na kuelezea Jinsi ya kukusanya kazi kwa makundi yote mawili
ESS PEPMIS Namna ya kukusanya kazi kila siku Mtumishi WA kawaida.
Kutuma kazi kwa mkuu wako fuata hatua hizi.
1. Login kwenye ess.utumishi.go.tz
2. Gusa Menu ya PEPMIS
3. Gusa Implementation and Monitoring ipo upande WA kushoto.
4. Gusa employees
5. Kwenye kila subtask ulizotengeneza mbele yake utaona nukta tatu gusa nucta za task unayoitaka uifanyie implementation.
6. Gusa add progress
7. Seheme ya discription utaandika Kwa kifupi juu ya Kile umefanya/ kazi uliyofanya kuhusu hiyo sub-task Kwa kifupi tuu. Mfano utaandika : Nimeazimia maazimio mawili Kwa kidato Cha tatu Kwa masomo ya kiswahili na Kiingereza. Au Nimeandaa scheme of work ya ……
8. Sehemu ya Implimitation status jaza hatua uliyopo. Kama umemaliza (complete ) unaendelea(progress ) umeachana nayo(Dropped out) au bado hujaaza (Not started)
NB: Dropped out Kwa sasa imeondolewa mwanzo ilikuwepo so, tumia zilizopo.
9. Sehemu ya completion in percentage utajaza asilimia uliyofikia. Hapa yakupasa U-calculate upate asilimia hizo kama utakuwa umeselect task yako ni inprogress.
10. Kisha gusa Save.
11. Kwenye hiyohiyo subtask yako tena gusa nukta 3 kisha safarihii gusa view implementation
12. Utaona kazi uliyoiandika mbele yake kuna nukta tatu gusa
13. Gusa submit
Hapo utakua umetuma kazi kwa mkuu wako wa kituo
NB: Usipo submit hiyo kazi haitaonekana Kwa supervisor wako utahesabika huonekani kwenye mfumo.
ESS PEPMIS Namna ya kukusanya kazi kila siku Kwa Mkuu wa Kituo (SUPERVISOR)
1. Utalogin kwenye ess.utumishi.go.tz
2. Utagusa PEPMIS
3. Utagusa implementation and Monitoring
4. Utagusa Department/ unit/workstation
5. Utaona kazi zilizotumwa na watumishi walio chini yako kwa jina na subtask mbele yake kuna nukta tatu gusa.
6. Gusa view implementation uone kazi aliyoifanya
7. Mbele ya kazi aliyoifanya kuna nukta tatu gusa
8. Hapa utaona kama kweli aliifanya implementation kama hujaridhika na vile imefanyika utamrudishia (rollback) kama umeikubalia uta
10. Utagusa approve progress
11. Kisha utabonyeza verify. Utakuwa umemaliza kazi.
Hizi hatua mbili zilikuwepo mwanzo Kwa sasa hazipo unaishia hiyo ya 11 hapo juuu.
11. ~~Utaona kazi alizozifanya mbele yake kuna nukta tatu gusa~
12. ~Kisha tafuta neno limeandikwa submit.
JIUNGE NASI WHATSAPP
BOFYA HAPA
JIUNGE NASI TELEGRAM
BOFYA HAPA