Kama Una birthday,Kitchen party,Harusi,Ubarikio au Shughuli yoyote inayohitaji Cakes Mitaa ya kigamboni na Viunga Vyake Basi Usijali Tumefanya Researh na kukuletea Wauzaji ambao Hupika cakes Tamu zenye kiwango lakini kwa Gharama Nafuu zaidi.
Hawa Hapa Wauzaji Mahiri wa Cakes za Graduation kwa Bei Rafiki kabisa Wanaitwa Nory Cakes
Waandaaji wa Makala hii Wamefanya Utafiti wa Ubora wa Cakes na Bei kwa Wauzaji Mbalimbali wa Cakes Kigamboni Jijini Dar es salaam na Kujaribu kulinganisha Bei,Ubora wa mapambo ya Cake na Ladha Moja ya Bakery ambaye ameonekana akiwa na Bei ya chini na Cake nzuri ni huyu anayeitwa NORY CAKES
Kabla ya kuandaa makala hii tulijaribu Kufanya utafiti kwa Baadhi ya watengeza keki kwa kuwapigia simu kujifanya ni wateja wa cake lengo ni kujua Gharama za keki wengi walikuwa na bei ghari Lakini tulimpata Huyu mmoja anajiita Norycakes Ambaye Bei zake ni Rafiki na Keki zake ni tamu
Soma Hii: Wauzaji Wa Cake Nzuri za Graduation kwa Gharama Nafuu Dar es salaam
Kwanini Nory Cakes ndio Bora kwa Wauzaji wa Cakes Dar es salaam?
Gharama zake ni Rafiki kulingana na Bajeti ya Mteja
Cake zake tamu na nimchambuko yani zinachambuka
Unaweza kwenda na Aina yako ya cake unayoitaka au pia anaweza kukushauri kukuchagulia cake Bora
Utaratibu wake wa kuweka Oda ni mzuri yani anatengeneza keki kutokana na oda (Huuziwi keki zilizolala) Mteja analipia nusu ya Gharama kisha ukiletewa keki yako unamalizia Nusu nyingine.
Hizi Hapa Miongoni mwa Keki Alizowatengenezea Wateja Mbalimbali
Jinsi ya Kuwasiliana na Nory Cakes kuweka Oda ya keki
Instagram : Nory_Cakes
Facebook: Nory Cakes
WhatsApp: 0757296935 (Bonyeza Hapa kuwasiliana na Nory cakes WhatsApp)
Mobile : 0757296935 / 0655471991