Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo 2025
Ajira Mpya

Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo 2025

BurhoneyBy BurhoneySeptember 13, 2025Updated:September 13, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Tangazo la Nafasi za Kazi – Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo 2025
Tangazo la Nafasi za Kazi – Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo 2025
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo kupitia Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imetangaza nafasi mpya za kazi kwa Watanzania wenye sifa stahiki. Tangazo hili limetolewa tarehe 12 Septemba 2025 na linahusu jumla ya nafasi tano (05) kama ifuatavyo:

1. Mwandishi Mwendesha Ofisi II – Nafasi 3

Majukumu ya kazi

  • Kuchapa barua, taarifa na nyaraka mbalimbali.

  • Kupokea wageni na kuwasikiliza shida zao.

  • Kutunza kumbukumbu, miadi na ratiba za vikao/safari.

  • Kutafuta na kusambaza majalada.

  • Kuandaa dondoo na vifaa vya vikao.

  • Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi.

Sifa za mwombaji

  • Awe amehitimu Kidato cha Nne.

  • Awe na Stashahada ya Uhazili au cheti cha NTA Level 6 ya Uhazili.

  • Awe amefaulu Hatimkato ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika.

  • Awe na ujuzi wa matumizi ya kompyuta (Word, Excel, PowerPoint, Internet, E-mail, Publisher).

Mshahara: TGS C kwa mwezi.

2. Dereva Daraja II – Nafasi 2

Majukumu ya kazi

  • Kukagua gari kabla na baada ya safari.

  • Kuwapeleka watumishi katika safari za kikazi.

  • Kufanya matengenezo madogo ya gari na usafi.

  • Kusambaza nyaraka na kutunza taarifa za safari.

Sifa za mwombaji

  • Awe amehitimu Kidato cha Nne.

  • Awe na leseni ya Daraja C au E na uzoefu wa mwaka 1 bila ajali.

  • Awe amehudhuria mafunzo ya udereva (Basic Driving Course – VETA au chuo kinachotambuliwa).

Mshahara: TGS B kwa mwezi.

Masharti ya Jumla

  • Mwombaji awe Mtanzania mwenye umri wa miaka 18–45.

  • Wenye ulemavu wanahamasishwa kuomba.

  • Maombi yaambatane na CV, vyeti vya elimu/taaluma vilivyothibitishwa, barua ya maombi, anuani na majina ya wadhamini watatu.

  • Vyeti vya “Result slips” havitakubalika.

  • Waombaji waliostaafu au walioko serikalini hawaruhusiwi bila kibali maalum.

  • Mwisho wa kutuma maombi: 25 Septemba 2025.

  • Maombi yote yawasilishwe kwa njia ya kielektroniki kupitia mfumo wa ajira: 👉 https://portal.ajira.go.tz

SOMA HII :  Nafasi za Kazi Halmashauri Mbalimbali Zilizotangazwa leo Ajira Portal 2025

 Download Tangazo la kazi katika PDF File

Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Kusimamia Uchaguzi October 2025 :INEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi

October 19, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili kusimamia uchaguzi 2025 – INEC Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

October 12, 2025

Nafasi 70 Za Kazi Unitrans Tanzania Limited Madereva wa Malori 2025

September 17, 2025

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Karatu 2025

September 13, 2025

Nafasi za kazi Zilizotangazwa Leo Ajira Portal 2025

September 12, 2025

Majina ya Walioitwa kazini Ajira Portal Utumishi PSRS 2025 PDF Download

September 9, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Kusimamia Uchaguzi October 2025 :INEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi

October 19, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili kusimamia uchaguzi 2025 – INEC Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

October 12, 2025

Nafasi 70 Za Kazi Unitrans Tanzania Limited Madereva wa Malori 2025

September 17, 2025

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Karatu 2025

September 13, 2025

Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo 2025

September 13, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.