Maneno matamu na SMS za kumbeleza ni zaidi ya Uchawi kwenye mapenzi huteka akili za mpenzi wako kimwili ,kihisia mpaka kiakili lakini je Unajua ni sms gani ambazo ukimbeleza mpenzi wako hasa mida ya Usiku Hapa tumekuwekea full package ya sms za kubembeleza.
Najiuliza kila leo hivi ni mimi tu kimeo katika dunia hii ya leo maana kila leo nayempata huishia kunipa ahadi kila leo, mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara kabla ya machweo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Nakupenda mpenzi.
Hakika mtoto umeumbika mithili ya malaika japo mbinguni sijafika lakini nauhakika kwa kila mwanaume aliyeumbika na kukamilika akikuona lazima udenda utamtoka, naomba japo yako dakika nipate kukueleza moyoni yaliyonifika kwani siwezi tena kuficha jinsi navyokupenda, nakupenda amini kwako nimefika!
Nimezunguka pande zote za Tanzania macho nikiangaza kumsaka mrembo wakumkabidhi yangu nafsi na kulila tunda lake kwa nafasi huku nikimpa mahaba yangu ya dhati na sikuwahi kuhisi kama wewe ndiye ungeiteka yangu nafsi, nakupenda sweetie.
Sijui nikuekleza namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo kwanini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani!
Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah.
Kama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kama nyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Upepo wangu wakupuliza wewe kutokana na joto kali usijaribu kwa kuvaa sweta ukapunguza ukali ninachotaka mi nikuwa na wewe naomb unielewe . *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa,lakini ni makubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani. inaniuma sana *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbe huu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvuno hayapo kwake, nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpo tayar kumsaliti na lbd aanze yeye •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mpenzi huwa unanipagawisha unaponipumulia pumzi masikioni nasikia raha. Niliandika upendo wangu kwako kwenye majani ng’ombe akala,nikaandika kwenye jiwe mvua ikafuta ,nikaandika kwenye sms likafutwa lakini nimeandika moyoni mwangu halitafutika kamwe. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwako ni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Kanuni za kudumisha “PENZI” Milele. 1.Ukipenda ucpende tena. 2.Penda kwa dhati.3.Mheshimu Mpenzi wako. 4.Kuwa mvumilivu 5.Mjali umpendae 6.Jivunie kuwa nae 7.Ucmfiche jambo 8.Ucpende achukie 9.Unapokosea omba radhi.10.Uckubali kumpoteza (ukifanya hivyo mtapendana milele) nakupenda Sana. ……………………………………………………………..
Mapito ni mengi, ktk maisha… Utaumia, utalia, utahuzunika, utakata tamaa, utavunjika moyo na wakati mwingine kujuta kwanini ulizaliwa, lakini kaa ukijua hayo yote yanatakiwa kuwepo ili, kukufanya jasiri ktk kuzifikia ndoto na malengo yako, usikate tamaa MUNGU yupo pamoja na wewe.UCIKU MWEMA
ITAKUA” Kama “NDOTO” Pale “MOYO” Wangu Utakapozima Kama “MSHUMAA” Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie “SAUTI” Yangu Lakini Utakuwa Tayari Umeshachelewa. “KILIO, HUZUNI, SIMANZI Na MAJONZI” Zitakuwa Zimetanda Katika Kuta Za “MOYO” Wako.
MACHOZI” Yatakutoka Kila Utakapokumbuka UCHESHI Wangu Na Moyo Utakuwa Mpweke Kila Utakapoiona NAMBA Yangu Kwenye Simu Yako.
Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo Jaribu Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi nibinadamu hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu”J.pili njema Hny. …………………..
Mpita njia kashkwa na kiu kaenda kuomba maji jiran,dogo akampa maziwa jamaa akanywa akasema kiu bado,dogo akampa tena glasi ya maziwa,jamaa akauliza mna maziwa mengi? Dogo akamjibu si hatuyataki kwani jana panya alidumbukia, jamaa kusikia hivyo akashtuka akaangusha glasi,basi dogo akaita mamaa mgeni kavunja ile glasi ya bibi ya kutemea mate!!! Jamaa akazimia…aa!! …………………….
Ingekuwa upendo unauzwa nisingekuuzia kamwe,ingekuwa pendo ni mwandiko ningeandika counte nzima,ingekuwa pendo ni wino hakika kalamu yangu isiyoisha,ingekuwa pendo ni kisima maji kisimani kwangu kwa ajili yasingekauka.nakupenda hny ………………………
Pendo ni mwandiko mzuri wenye vina ya kimapenzi,kwa utajo wake ni wenye kutamkwa vizuri,kwa uzuri wake hutufanya tupendane xana,acha nikupe mwandiko wangu nakuomba uuthamini.
Wagunduzi walifanya hivi kujua asali ni tamu walionja kwa ulimi, vile vile shubiri kujua kama ni chungu walionja kwa ulimi. Lakini wanasema mapenzi ni matamu zaidi ya asali na ni machungu kuliko shubiri. Je.? Unaweza kuniambia waliyaonja vipi kabla ya kujua?
Uliposema wanipenda sikuamini ipo siu utaja nitenda!, nilikueleza nini napenda nawe ukaapa yote kutenda kwakuwa wanipenda, leo umebadirika waanza nitenda, hivi kweli bado wanipenda?? •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ulipolihitaji langu penzi ulidiriki hata kulimwaga chozi leo umepata langu penzi waniletea pozi, siwezi lazimisha penzi pasipo na penzi, amini nilikupenda ila nimeshindwa na zako pozi, nakutakia maisha mema na huyo wako mpya mpenzi. Be blessed..!! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika uliuteka moyo wangu, nikaamini u wangu peke yangu, nikaziba masikio yangu yote niliyoambiwa na rafiki zangu, kumbe naidanganya nafsi yangu. Its over baby! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hivi kwanini kila siku mimi nimekuwa mtu wa majonzi, niliamini we ndiye wakunifuta machozi kumbe zilikuwa njozi, siamini kama umeniongezea majonzi, asante sana mpnz! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Tangu nilipokufunulia pozi waniletea, mawasiliano yamepotea na kila tupangapo mihadi kwako huwa ngumu kutokea, niweke wazi nijue kama ndiyo mwisho wa penzi letu •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kila siku naishia utamu kuuckilizia njozini unaponijia, najiuliza lini utanivulia niachane na ndoto tele ndotoni zinazonijia? •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mpenzi mbona mapenzi yetu kama yanapoteza dira, kila siku huishi hila, kitu kidogo wafura hasira. Wanichanganya dia! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Najua ni kweli wanipenda,hata mimi nakupenda laaziz wangu,ila pendo lako litajidhihirisha zaidi kangu ukizidisha uaminifu.nakupenda mpenzi •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku zote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe ndiyo ua la moyo wangu! •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa la dhati penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Wangu hayuni mwenye upendo wa dhati,hakika nakupenda,mwengine sitamani,hamin mpenz kwa zangu hiz tenzi..! *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Moyo hauna nafasi kwa pendo lilo na nia, sijali wala sihisi kwako nimejitolea, kwangu toa wasiwasi sishindwi kukuridhia, kwa yangu hii nafasi moyo umekuchagua …………..
Moyoni mwangu hutoki nakuomba ukubali, nawala sibadiliki hilo kwangu ni muhali, si km sikukumbuki zimenijaa shuhuli, ww kwangu si rafiki ni ndugu nnaekujali ………
Ewe ulo2lizana chaguo la moyo wng kila nnapokuona huniondoka machungu tabia zako mwanana zmeuteka moyo wangu yoyote atakaekuona mwambie ww ni wangu …….
Moyo unasikitika hauto acha daima. Machozi yatiririka siusiku si mchana. Huzuni imenishika kwa vile sijakuona ………
Ndege tausi alimuuliza kasuku “hivi kuna viumbe wazuri kuliko sisi duniani?”kasuku akajibu,ndio wapo kama hujui mtizame huyu anayesoma msg hii ………..
Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7 katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa…… lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu! *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna moja niijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yako kuwa pamoja *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, wale wanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huita ndoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, na mimi, mwisho wangu ni wewe. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Ni mapenzi gani yanayofanya simu yako ilie kila nitumapo meseji? *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Unaonekana kung’ara leo nilijuaje…….ni kwasababu unaonekana hivyo kila siku *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli, lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambo mazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe, kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Mwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake, wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako. Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini si mtumaji. *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue meseji na kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichoke kwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane *°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
m?y?ni naumia kila napofikiria yale uliyonitendea,
sijui ni nini nilikukosea kama mapenzi ya dhati naamini nilikupatia na moyoni nilikuwa najivunia na kujiona zaidi ya mfalme katika hii dunia kumbe kiini macho ulikuwa wanifanyia leo najutia muda ulionipotezea kumbuka nilikupenda
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
kama kuvumilia nimevumilia na sasa yatosha,
nikoradhi mbivu zako kuzikosa,
kuliko kuendelea kujitesa,kumbuka nilikupenda
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nimeamua kwenda kwani sihitaji kukutenda,penzi la
dhati nilikupa lakini hukutambua kuwa nakupenda
nakutakia maisha mema na utakaye mpenda
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ama kweli!vizuri havikosi kasoro ,mapenzi yetu kutwa
hayaishi migogoro,hivi sasa giza limetanda totoro
sijui lini tutamaliza hii migogoro?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ulisema wanipenda na katu kwa mwingine hutokwenda na leo umenitenda! Umeamua kwenda ingawa wajua bado nakupenda, leo ni siku kenda toka umekwenda, amini bado nakupenda na kwa mwingine siwezi kwenda!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Kila siku mimi ni mtu wa kulia, ipo siku uvumilivu utaniishia, hivi ni kwa nini hutaki kutulia na kila kitu nimekupatia, wewe wehuka na hao wanaokupapatikia, lakini utaja jutia siku ikiwadia.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
·
Leo tukiwa katikati ya mwezi wa kumalizia nusu ya kwanza ya mwaka 2013, nachukua fursa hii kuwatakia MAFANIKIO BORA ya MAISHA wale wote wanaonipa ushirikiano mzuri katika maisha yangu..
Kila niliposoma sms zako zenye nasaha nyingi niligundua mambo makubwa matano.
1:KUNIJALI
2:UPENDO
3:FURAHA
4:WEMA
5:KUTHAMINI
Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya maana sana kwangu, pia sikuhisi UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA pia nakuomba unisamehe pale nilipokukosea.
Hivyo nami nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU;
1. RADHI ZAKE
2. HAIBA KWA WATU
3. MAFANIKIO MEMA. “asante sana”
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
nashindwa kudanganya moyoni ulivyonijaa
faraja na furaha uliyonipa
moyoni umeshaniingia kwa tabasamu unalonipa
moyo wangu wakuridhia.
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani, RAha ya ndege mpunga na wala sio majani, Raha ya ndege kuruka na kuimbia angani, Ndege salam nakupa zipeleke kwa makini, iwapo hukumkuta msubiri mlangoni, Usije ukaondoka ingia mpaka ndani, mwambie namkumbuka japo kuwa simuoni
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Ewe sms nenda kwa huyu mtu wangu wa karibu ukimkuta
Alikosa raha ulipougua! alipigana na kutukanwa ulipoonewa, alikaa na njaa ili ww ushibe na kufurahi. Aliakikisha halali mpaka ww ulale, na kikubwa zaid mimi na wewe tusingejuana wala kupendana bila yeye, Je unamjua huyu? Si mwingine ni MAMA. KUMBUKA PEPO ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU. (MPENDE SAANA MAMA)
AKIWA HAI MLIWAZE NA KM AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA.
…………….
Ee’ kidole changu (jinalo index ka’skosei). . . Ni lini utavaa pete kuthibitisha ushakwalifai leseni ya kuishi na Binti Beyo nimpendae kwa dhati tokea kilindini?
“*.U*” Hii ni mizani ya mapenzi, wengine hutoa mali au zawadi, mimi natowa moyo wangu kwako.Je ww unatoa nini ?
………………………
Kwenye ubongo nimekusevu “I LOVE YOU,” na moyoni nimeandika “ONLY YOU,” na kila nimuonae nasema “NO ONE LIKE YOU,” wala cogopi kusem I’m “CRAZY” for you,every “SECOND” I think about “YOU” so napenda uamini “ME” for “YOU,” nice tym”MY DEAR” MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok
……………………….
Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA
4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaon
……………………….
Nimepanda gari la “KUKUPENDA” Nimefika kituo cha “KUKUWEKA” (moyoni) Ghafla nikapata ajali mbaya ya kuwa mbali “NAWE”, Nimelazwa hospital ya “KUKUMISS” (100%) Nimeandikiwa sindano za “KUKUWAZA” / kila saa,,, Nimetundikiwa dripu ya “UAMINIFU” na nimepewa dawa za kunizuia kumpenda “MWINGINE” zaidi yako!!(…..)
………………………
napenda wali nyama , ugali mchicha, pia roast nyama na supu mchemsho ila vyote sipendi zaidi ya ninavyokupenda.
…………………
Sasa nimegundua DAWA ya MAISHA! N kulipiza VISASI yaani: Ukinichukia NAKUPENDA Ukiniudhi NAKUFURAHISHA, Ukinisahau NAKUKUMBUKA, ukikaa kimya NAKUSALIMIA! MAMBO?
……………………..
Salamu ni moyo ktk “IMANI”. Salamu ni uhai ktk “UPENDO”. Salamu ni ufunguo wa “RIZIKI” salamu ni chakula cha “NAFSI” salamu ni “MSAMAHA” wa kudumu milele. Salamu ni kinga ya maradhi” salamu huondosha “UADUI” Hakika salamu ni”UTAKASO” wa “NAFSI”. Nami nakupa wewe niliyekutunuku. **
………………………..
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. “NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU”
……………….
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. “NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU”
…………..
Siku niliyokutana na wewe kwa mara ya kwanza haiwezi kufutika mpenzi, ilikuwa siku nzuri sana kwangu, siku ya kutambulisha hisia zangu kwako! Ukanipokea na kunikaribisha moyoni mwako! Hakika nakupenda sana mpenzi wangu!
…………………….
Samahani mpenzi kwa kukupa habari mbaya! Nimepata ajali ya MOYO, nimelazwa wodi ya MAPENZI, Daktari kaniandikia vidonge aina ya BUSU, nimetafuta katika maduka yote ya dawa nimekosa! Je, wewe waweza kunipatia mpenzi wangu?
………………
Kila chozi likidondoka linaandika jina lako, kila waridi nilipandalo latoa harufu yako, kila moyo udundapo hutaja jina lako, nakupeda mpenzi wangu wa ubani, kukusaliti siwezi asilani!
………………….
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu; ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu; wangu una wewe tu!
…………………
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu, basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bila kukupenda wewe.
Lazima utakuwa mwizi sababu umeiba moyo wangu, umechoka sababu unakimbia mara zote akilini mwangu, na labda mimi sina shabaha sababu mara zote nikikulenga nakukosa.
……………..
Mpenzi nakupa pole sana maana nimesikia habari mbaya kwamba unatafutwa na polisi kwa kosa kubwa sana ambalo huwezi kulikana na lina ushahidi wa kutosha kwamba unatuhumiwa kuiba moyo na mawazo yangu kiasi cha kunijeruhi mawazo yangu hadi sasa naonekana kama chizi.
………………………………………………………………
STORY NZURI
YA UPENDO
Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA.
Masikini kumbe jike alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda…!!
Jee…!! wewe, utamuonesha nini umpendaye ili aone ni kiac gani
…………………..
Tunda gani liwe mfano wako? Hamna ! Ladha gani ishinde ukarimu wako? Hamna! Ni nani nimfananishe na wewe? Hakuna! najickia furaha kukutakia uck mwema
……………………..
Kwenye ubongo nimekusevu “I LOVE YOU,” na moyoni nimeandika “ONLY YOU,” na kila nimuonae nasema “NO ONE LIKE YOU,” wala cogopi kusem I’m “CRAZY” for you,every “SECOND” I think about “YOU” so napenda uamini “ME” for “YOU,” nice tym”MY DEAR” MWAAAAAAA!!!!pls kiss 4me ok
……………………
Kila nilipoona msg yako ndani yake niligundua mambo makubwa manne. 1/ KUNIJALI,
2/ UPENDO
3/ FURAHA
4/ WEMA. Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya Maana pia sikuhisi UPWEKE wa kukosa NDUGU katika huu uso wa DUNIA.Mm nakutakia mambo makubwa matatu kwa MUNGU
1/ RADHI ZAKE,
2/ HAIBA KWA WATU
3/ MAFANIKIO KATIKA KAZI ZA MIKONO YAKO.USIKU,,MWEMA,
……………………..
Nakupenda sana .Tafadhali nionyeshe mapenzi ya kweli kila mara na sio kwa msimu. Ningependa unishike kila mara, uniguse, unikumbatie kila wakati. Mimi ni msaada mkubwa sana kwako, nibusu popote utapokuwa nami usiniogope hakuna mtu wa kukushangaa,, nichukue hata ukiwa safarini sitalipa nauli. Kwani sina gharama kwako, hata kwenye mfuko wako wa nguo nitakaa. Nitumie kila unapojihisi upo mpweke sitaacha kukupa faraja, ni mimi mpenzio wa ukweli ‘QUR-AN,,NAKUTAKIA,,RAMADHANI,,KAREEM,,USIKU,,MWEMA!!!!
Nimepanda gari la “KUKUPENDA” Nimefika kituo cha “KUKUWEKA” (moyoni) Ghafla nikapata ajali mbaya ya kuwa mbali “NAWE”, Nimelazwa hospital ya “KUKUMISS” (100%) Nimeandikiwa sindano za “KUKUWAZA” / kila saa,,, Nimetundikiwa dripu ya “UAMINIFU” na nimepewa dawa za kunizuia kumpenda “MWINGINE” zaidi yako!
…………………….
Neno “ASUBUHI NJEMA” ni dogo sana lakini huwezi kulipata kwa asiye kujali, kukukumbuka na kukupenda, lakini mimi naona umuhimu wa kukutakia
“ASUBUHI NJEMA. JE, UMEAMKA SALAMA? si lazima ujibu kwa meseji! hata ukitabasamu na kutikisa kichwa tu inatosha! Asubuhi njema.
……………………
AJABU YA PENZI:
1. Penzi sio UGONJWA lkn linauguza!
2. Penzi sio MSIBA lkn linaliza!
3. Penzi sio HARUSI lkn lafurahisha!
4. Penzi sio SUMU lkn linaua!
5.Penzi c MATESO lkn linatesa!
6. Penzi c KIDONDA lkn linatonesha!
7. Penzi c CHEO lkn laheshimiwa!
8. Penzi c MALI lkn linalindwa!miss u.
…………………..
ITAKUA” Kama “NDOTO” Pale “MOYO” Wangu Utakapozima Kama “MSHUMAA” Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie “SAUTI” Yangu Lakini Utakuwa Tayari Umeshachelewa. “KILIO, HUZUNI, SIMANZI Na MAJONZI” Zitakuwa Zimetanda Katika Kuta Za “MOYO” Wako. MACHOZI” Yatakutoka Kila Utakapokumbuka UCHESHI Wangu Na Moyo Utakuwa Mpweke Kila Utakapoiona NAMBA Yangu Kwenye Simu Yako. Utatamani Uifute Ila Roho Itakuuma Kwa Kuwa Umenizoea. Hivyo Jaribu Kufurahia uwepo wangu angali nipo hai.tusameheane hakika sisi nibinadamu hatujakamilika.hakuna ambaye sio mkosefu”J.pili njema Hny.
……………………
chozi langu adimu ila wewe waeza litoa,kilio changu cha msimu ila ww waeza niliza,nakupenda xana
…………………..
chozi ni kimiminika chenye ladha,hutoka kwa sababu fulani au kuajili ya mtu fulani,kwangu mie chozi langu la tiririka bila sababu kila ninapo kuona,nashindwa kuelewa kwanini ?wakati najua chozi halitoki bila sababu,baada ya kutafakari kwa mda niligundua pendo la dhati nililo nalo kuajili yako ndilo hunifanya niwe katika hali hiyo.
……………………
***Pasipo na SALAMU hapana UPENDO***.
***Pasipo na UPENDO hapana AMANI***.
***Pasipo na AMANI hapana IMANI***.
***na bila ya IMANI huingii PEPONI***
Kama unayasadiki maneno haya mpe SALAMU yule unaye mpenda na unayemjali.
Mimi ninakupenda na ninakujali ndio maana ninakusalim
na kukutakia asbh njema
……………
=> Wahenga walisema;
” Salamu ni Nusu ya kuonana “
=> Wenye Hekma wamesema;
” Raha ya Salamu ni Kusalimiana “
=> Waungwana nao wamesema;
” Ukipata Salamu, kamata Kalamu “
=> Hao wote waliona Umuhimu wa Salamu, na ndio maana wakavumbua Misemo mbali mbali kwa ajili ya kuzidisha :-
=> URAFIKI,
=> UNDUGU, baina ya watu wanaosalimiana.
=> Nami kwa kulijua hilo, nafanya Hima kukusalimia ndugu yangu kwa kusema
Na pia ukitaka kujua baada ya ndoa mambo huwaje?. Anza kusoma sms hii kuanzia chini kwenda juu.
…………………….
AJABU YA PENZI:
1. Penzi sio UGONJWA lkn linauguza!
2. Penzi sio MSIBA lkn linaliza!
3. Penzi sio HARUSI lkn lafurahisha!
4. Penzi sio SUMU lkn linaua!
5.Penzi c MATESO lkn linatesa!
6. Penzi c KIDONDA lkn linatonesha!
7. Penzi c CHEO lkn laheshimiwa!
8. Penzi c MALI lkn linalindwa!miss u.
……………………..
Udugu wa kweli ndio wenye thamani,
Utajiri na mali si chochote maishani,
Upendo na kunijali ni faraja ya moyoni,
Hata kama upo mbali bado nakuthamini, Sa(…..)
……………………..
“UPENDO”
haupandwi ardhini, “UPENDO”
hauoti baharini,
“UPENDO”
haununuliwi dukani,
“UPENDO”
hauna ushauri,
“UPENDO”
haufundishwi darasani,
bali”UPENDO”hutoka ktk moyo wa mtu.
Na ni tabia ya mtu aliyozaliwa nayo toka kwa”MUNGU”. na kudhihirisha hilo Napenda Kuktakia USKU MWMA.
……………………..
ILOVE Y0U ””””””””””””””””””””
I NEED Y0U
%%%%%%%%%
I MISS Y0U
=============
I’M HAPPY 2 U
***************
Najua moyo wangu umekuchagua ww na kuku2mia zawadi hii ili uelewe kwamba nakupenda sana, nakujali zaid, nakuthamini kuliko, nakutakia kila la kheri pamoja na dua njema,Ucku mwema hny.
Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA.
Masikini kumbe jike alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda…!!
Jee…!! wewe, utamuonesha nini umpendaye ili aone ni kiac gani
.
…………………….
kipi unataka kutoka kwangu Mwez huu wa july hii?
1=Moyo wangu
2=Tabasamu langu
3=Penzi langu
4=Hadithi
5=Urafiki
6=Muungano na mimi
7=Msamaha
8=Mahusiao
9=Tuchat sana
10=Muda wangu
11=Kwenda kuburudika na mimi sehem
12=Kuja kulala kwetu
13=Kuyashirikisha maisha na mimi.
14=Ushaur
15=Kukuchum.
Watumie sms hii rafiki zako woote ,uone nn wanataka uwafanyie,Lakini nijibu mm kwanza tafadhal…
……………………
Tukiwa tupo mwezi wa 9 robo 3 ya mwaka 2013 nachukua fursa hii kukushukuru sana kwa kutumia muda wako mwingi na fedha zako ili kuwasiliana nami. Kila niliposoma sms zako zenye nasaha,mzaha,kuelimisha n.k. niligundua mambo makubwa matano
1:KUNIJALI
2:UPENDO
3:FURAHA
4:WEMA
5:KUNITHAMINI
Nilipogundua hayo nilifarijika na nikayaona MAISHA ni ya maana sn kwangu,sikuhisi UPWEKE wa kukosa rafiki katika huu uso wa DUNIA,nakuomba unisamehe nilipokosea na ninakuombea Kwa MUNGU akupe MAFANIKIO MEMA KTK MAISHA YAKO.
………………….
WEWE NI MFANO WA TUNDA GANI KATI YA HAYA?
1.EMBE-Furaha ya ndoa.
2.CHUNGWA-Mpweke lakin unatafuta.
3.LIMAU-Unampenda mtu lakin unaogopa kumwambia.
4.SHOKISHOKI-Upo ktk mahusiano ama ndoa lakin unaye mwengine ambaye unampenda.
5.PEASI-Bado unampenda mtu wako wa zaman.
6.PARACHICHI-Upo ktk mahusiano na m2 asiyekufaa na hujui ni kwann unaendelea naye. 7.ZABIBU-Mpweke lakin ni mwenye furaha
8.NANASI-Huna habari na mapenz 9.TANGO-Upo ktk mahusiano lakin hujui kitakachotokea baadae.
10.PERA-Unampenda m2 ambaye naye anampenda m2 mwengine
11.PENSHENI-Umechanganyikiwa…*Nijibu tafadhari ila Kuwa mkweli*
…………………..
“MAISHA” ni ugomvi unapoyatafuta tayari umeingia bifu na walimwengu
“MAISHA” ni vita kali sana inahitaji maandalizi na zifuatazo ni silaha 9 Muhimu lazima uwenazo:-
1. Jiamini na uwe na nia ya unachokitafuta.
2. Uvumilivu kwa litakalokukuta.
3. Kuwa muaminifu kwa kila mtu.
4. Usikate tamaa iwapo haujafanikiwa.
5. Kuwa na malengo ktk kipato chako.
6. Jenga upendo kwa kila mtu.
7. Chunguza utakalo ambiwa kabla hujachukua hatua.
8. Epuka marafiki wanaopenda starehe.
9. Jua kuna faida na hasara!
NAKUTAKIA MSIMAMO MWEMA.
“nakutakia cku njema”
……………………………
Salamu ni moyo ktk “IMANI”. Salamu ni uhai ktk “UPENDO”. Salamu ni ufunguo wa “RIZIKI” salamu ni chakula cha “NAFSI” salamu ni “MSAMAHA” wa kudumu milele. Salamu ni kinga ya maradhi” salamu huondosha “UADUI” Hakika salamu ni”UTAKASO” wa “NAFSI”. Nami nakupa wewe niliyekutunuku. *****MCHANA MWEMA!*****
…………………
…………………
Neno gani? linaumiza zaidi kutoka kwa mpenzi wako unae mpenda kwa dhati kati ya haya:- 1.Tuachane.
2.Sikutaki tena. 3.Nimepata mwngne.
4.Mbona king’ang’anizi wewe. 5.Sikupendi.
6.Wazazi wangu hawakutaki.
7.Siwezi kua na wewe.
8.Kama nilikosea njia tu. 9.Huna mvuto. 10.Najuta kuwa na ww.
naomba jibu
…………………………………….
UKITAKA KUWA NA FURAHA KILA SIKU..fanya hivi…amini kuwa Mungu pekee ndie ana mamlaka ya kuamua lolote juu yako..na si binadamu….mpende anaekutakia mabaya kwa kuamini hajui atendalo…ishi kwa uhalisia wako na usìige maisha au mtindo wa maisha ya mtu…tii haja za moyo wako si maneno ya watu..ridhika na ulichonacho kwa kuamini ndicho mungu alichokupa na kuna siku utapata zaidi…Jipende jinsi ulivyo maana kuna wenye kasoro zaidi yako….wanaokudharau waheshim maana wanakupa uchungu wa kutafuta mafanikio…amini wewe ni bora na muhimu kwa jamii, ndio maana umeumbwa. Asubui.njema
……………………………………………………
…………………………………………..
ITAKUA” Kama “NDOTO” Pale “MOYO” Wangu Utakapozima Kama “MSHUMAA” Uliopulizwa Kwa Upepo. Utatamani Niamke Angalau Usikie “SAUTI” Yangu Lakini Utakuwa umesha chelewa, ”KILIO’ ‘HUZUNI’ SIMANZI” na “MAJONZI zitakuwa zimetanda ktk KUTA za MOYO wako MACHOZI Yatakutoka kila utakapo kumbuka ucheshi WANGU tkwako na MOYO Utakuwa Mpweke kila utakapoiona namba YANGU Kwenye Cm YAKO Utatamani uifute ila ROHO Itakuuma kwa KUWA Umenizoea Hivyo Jaribu Kufurahia Uwepo WANGU Kabla Sijatoweka Dunian Ata Chura Ujua Umuhim Wa Maji Pindi Yanapo Kauka Tuishi Kwa Aman Na Upendo Maish Ya Dunian Ni Mafupi%
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati