Close Menu
swahiliforums.com
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
BOFYA HAPA
  • Home
  • Ajira Mpya
  • Elimu
  • Michezo
  • Makala
Facebook X (Twitter) Instagram
swahiliforums.com
Home » Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Mipango Dodoma na Kozi Zinazotolewa
Elimu

Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Mipango Dodoma na Kozi Zinazotolewa

BurhoneyBy BurhoneyMarch 4, 2025No Comments2 Mins Read
Share Facebook Twitter Telegram WhatsApp
Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Mipango Dodoma na Kozi Zinazotolewa
Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Mipango Dodoma na Kozi Zinazotolewa
Share
Facebook Twitter Telegram WhatsApp
WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Chuo cha Mipango Dodoma fahamu sifa za Kujiunga na kozi zinaotolewa katika chuo cha IRDP Dodoma ,Ni muhimu kufahamu sifa na kozi kabla ya kutuma maombi ya kujiunga na chuo Makala hii imekuorodheshea vigezo vyote unavyopaswa kuwa navyo ili kujiunga chuo cha mipango ya maendeleo vijijini

Sifa za Kujiunga na Chuo Cha Mipango Dodoma

Sifa za Kujiunga Programu za Shahada za Kwanza (Bachelor’s Degree Programs)

Chuo cha Mipango Dodoma kinatoa programu kadhaa za shahada ya kwanza ambazo zinaangazia maeneo tofauti ya mipango na maendeleo. Ili kujiunga na mojawapo ya programu hizi, mwanafunzi anatakiwa kuwa na sifa maalum kulingana na kozi anayokusudia kusoma. Hapa chini ni baadhi ya programu zinazotolewa na sifa zinazohitajika:

  1. Shahada ya Mipango ya Fedha na Uwekezaji (Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning)
    • Sifa: Ufaulu wa D mbili katika masomo ya Uchumi, Jiografia, Historia, Biashara, Uhasibu, Hisabati ya Juu, Lishe, Kilimo, Baiolojia, Kiingereza, Fasihi, Fizikia, au Kemia.
    • Alama za chini za kujiunga: 4.0
    • Muda wa masomo: Miaka 3
  2. Shahada ya Mipango na Usimamizi wa Mazingira (Bachelor Degree in Environmental Planning and Management)
    • Sifa: Ufaulu wa D mbili katika masomo kama Uchumi, Jiografia, Historia, Biashara, Uhasibu, Hisabati ya Juu, Lishe, Kilimo, Baiolojia, Kiingereza, Fizikia, au Kemia.
    • Alama za chini za kujiunga: 4.0
    • Muda wa masomo: Miaka 3
  3. Shahada ya Mipango ya Idadi ya Watu na Maendeleo (Bachelor Degree in Population and Development Planning)
    • Sifa: Ufaulu wa D mbili katika masomo ya Uchumi, Jiografia, Historia, Biashara, Uhasibu, Hisabati ya Juu, Kiswahili, Lishe, Kilimo, Baiolojia, Kiingereza, Fasihi, Fizikia, au Kemia.
    • Alama za chini za kujiunga: 4.0
    • Muda wa masomo: Miaka 3
  4. Shahada ya Mipango ya Maendeleo ya Mikoa (Bachelor Degree in Regional Development Planning)
    • Sifa: Ufaulu wa D mbili katika masomo ya Uchumi, Jiografia, Historia, Biashara, Uhasibu, Hisabati ya Juu, Kiswahili, Lishe, Kifaransa, Kilimo, Baiolojia, Kiingereza, Fasihi, Fizikia, au Kemia.
    • Alama za chini za kujiunga: 4.0
    • Muda wa masomo: Miaka 3
  5. Shahada ya Mipango na Usimamizi wa Rasilimali Watu (Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management)
    • Sifa: Ufaulu wa D mbili katika masomo ya Uchumi, Jiografia, Historia, Biashara, Uhasibu, Hisabati ya Juu, Kiswahili, Lishe, Kilimo, Baiolojia, Kiingereza, Fasihi, Fizikia, au Kemia.
    • Alama za chini za kujiunga: 4.0
    • Muda wa masomo: Miaka 3
SOMA HII :  Majina ya Waliochaguliwa kujiunga na vyuo Vikuu 2025/2026: Universities Selections

Sifa-za-kujiunga-chuo-cha-mipango-PDF

Follow on Telegram Follow on WhatsApp
Share. Facebook Twitter Email Telegram WhatsApp
Burhoney
  • Website

Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10 katika Ulimwengu wa Blogin ,Na Uandishi wa Makala Mbalimbali mitandaoni katika kuhakikisha nakuletea kilichobora nimekuwa nikitumia muda Wangu mwingi kujifunza juu ya mabadiliko ili kuendana na wakati

WhatsApp Group Join Now
Telegram Group Join Now

Related Posts

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Mkoa wa Rukwa (Ngazi ya Cheti na Diploma)

November 14, 2025

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Mkoa wa Pwani (Ngazi ya Cheti na Diploma)

November 13, 2025

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Mkoa wa Njombe (Ngazi ya Cheti na Diploma)

November 13, 2025

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Mkoa wa Mwanza (Ngazi ya Cheti na Diploma)

November 13, 2025

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Mkoa wa Mtwara (Ngazi ya Cheti na Diploma)

November 13, 2025

Orodha ya Vyuo ya Ualimu Vilivyopo Mkoa wa Morogoro (Ngazi ya Cheti na Diploma)

November 13, 2025

Comments are closed.

Latest Posts

Majina ya Walioitwa Kwenye Mafunzo Kusimamia Uchaguzi October 2025 :INEC Tume ya Taifa ya Uchaguzi

October 19, 2025

Majina ya Walioitwa kwenye Usaili kusimamia uchaguzi 2025 – INEC Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

October 12, 2025

Nafasi 70 Za Kazi Unitrans Tanzania Limited Madereva wa Malori 2025

September 17, 2025

Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili Halmashauri ya Wilaya ya Karatu 2025

September 13, 2025

Tangazo la Nafasi za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo 2025

September 13, 2025
Load More

Subscribe to Updates

Usipitwe na Habari zetu za kila siku Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu Kwa Kuandika Email yao Hapo chini

SwahiliForums Ni jukwaa la Habari na Makala mbalimbaali kwa Lugha kiswahili Habari za Michezo,Elimu, Biashara,Ajira Mpya na Dondoo za Afya Endelea kutufuatilia kwa kutembelea site yetu SwahiliForums.com

Karibu kwenye Swahiliforums, jukwaa lako la kipekee kwa habari, maarifa, na mijadala inayoangazia masuala ya kijamii, uchumi, na utamaduni kutoka kwa mtazamo wa Kiswahili. Hii ni blog ambayo inalenga kutoa taarifa za kina kuhusu matukio ya sasa, maisha ya kila siku, na masuala muhimu yanayoathiri jamii zetu katika eneo la Afrika Mashariki na duniani kwa ujumla.

swahiliforums.com
Facebook X (Twitter) Instagram WhatsApp Telegram Pinterest
Copyrights reserved @2025 swahiliforum.com

Type above and press Enter to search. Press Esc to cancel.